David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

Huwa natamani Rais ampe Kafulila nafasi zaidi Kwenye Serikali yake kwani anabidii sana huyu kaka.
 
Kaongea vizuri sana huyu Bwana
 
Hizi barabara zijengwe tunazihitaji sana
 
Mimi nimekulia katika familia yenye ''kadi ya kijani'' hata baba alikuwa kiongoz daraja la kati katika hii jamii ya kijani na njano, but sikuwahi enjoy kabisa maisha inside of it, ok turudi kwenye hoja... kuanzishwa kwa hii barabara ni ubaguzi kwa wananchi kwa xababu ya tofauti za kiuchumi na ikizingatiwa 100% ya watanzania ni maskini., kingine ni kwamba kwakuwa wabunge wamekosa weledi katika kuwakilisha wanachi wao pale kwenye round about yenye koki, ni bora upatikane mfumo wa maoni toka kwa raia mmojammoja katika majimbo ili kinacholetwa na serikali kiweze kujadiliwa na wananchi kwanza mana hawa ma MP wetu wanakubaliana na ajenda kibao kwa ajili ya storage zao. why nasema hvo? hakuna mwanachi wa kukubaliana and this kind of stupids kabisa. Hebu tujaribuni kuangalia tiba. SO SAD!!
 

Labda tujue kwanza bei kabla hamjaanza kujenga
 
Kwani mwananchi ndio hataki kusafiri kwa haraka?
 
Viongozi wetu wengi ni akili kisoda, tanzania kuwa na uchumi mzuri, maendeleo, elimu bure, afya bure inawezekana, kama tu viongozi watakuwa smart kichwani na kuacha ubinafsi, viongozi wetu wanajijali sana wao pia ni waroho sana, wanapiga sana bila kujali taifa litapata nini, mungu anaweza kutuletea bahari ya dhahabu lakini kwa mwenendo wa viongozi wetu na bado hali ya taifa ikawa mbovu kupitiliza.
 
Kupenda makubwa wakati baadhi ya miradi inasuasua bado na haijakaa sawa.

SGR mara inakwama watu wanabebwa na mabasi. Mwendokasi mbagala bado mabasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…