David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

Sawa 2mbili
 
SGR vipi??inafanya kazi kwa ufanisi?
 
Serikali inasuasua mno kwenye ujenzi wa mabarabara mwaka 2023 serikali iliahidi kujenga barabara 7 zenye jumla ya km 2035 lakin hadi leo utekelezaji haujaanza na mikataba ilisainiwa , barabara zinazojengwa nazo zinajengwa kwa viwango hafifu zinaharibika haraka sana, tanroads imekuwa dhaifu kipindi cha nyuma ilikuwa ni nadra kukutana na.mashimo barabaran , wamekuwa wazembe mno mfano madaraja ya reli ya SGR Dodoma moja liko mkonze na lingine liko bahi mpka leo barabara zinazopita pale hazijawekwa lami
 
Kwahiyo wataweka matrafiki ili kusababisha foleni kwa makusudi sio?

Barabara sio kitu cha kufanya wenzenu mtaji jamani, kodi zetu zinaenda wapi?! Si mjemge hizo barabara.., au kopeni kama vipi..
 
Bas tutegemee barabara za bure zitakuwa mbovu sana,mwsho wa siku kila mtu itabid alipie ili apite pazur
 
Tanzania huenda ikapata maendeleo ya haraka sana chini ya Samia
 
Hv kumbe waliondoa makusudi eeh,wabongo tunakamuliwa sana asee
Na baadae nazo mtaleta sababu za hovyo kama mlizoleta hapo ferry kuondoa vivuko ili magari yote yapite darajani kulipishwa. Mnajua tunawavumilia sana aisee.
Mb
 
Hv kumbe waliondoa makusudi eeh,wabongo tunakamuliwa sana asee
Na baadae nazo mtaleta sababu za hovyo kama mlizoleta hapo ferry kuondoa vivuko ili magari yote yapite darajani kulipishwa. Mnajua tunawavumilia sana aisee.
Mb
 
Angetumia lugha inayoeleweka kwani hiyo barabara iliyojengwa kwa ppp haina component ya mlipa kodi? Ni wajibu wa mamlaka kujenga Barabara bora ili mlipa kodi asafiri haraka.
 
Sawa
 
Tutalipia tu mbona kigamboni darajani tunalipa
 
Ni sawa kabisa
 
Kafulila katoa maelezo mazuri
 
Hata tukipita kwa makanyagio yetu tutalipishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…