David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

Sawa Mzee
 
Ameeleweka japo ni chawa sana jamaa
 
Sawa
 
Yule boss wake wakati wa enzi zake naye alikua na majibu ya shombo hivyo hivyo: asiyeweza kulipia sh. 5? ya kivuko apige mbizi.
 
Kauli hii ni sawa na kusema ''asietaka kuishi nchini, aamie Burundi"
 
Kama huna haraka unapita barabara ya kawaida.public road
 
Sawa tu
 
Barabara zinajengwa lini?
 
Natamani wakurugenzi wote wangekuwa kama huyu jamaa
 
Huo ndio Ukweli
 
Vizuri vinagharama
 
Sawa
 
Nimeshakuulizaga mara kwa mara huyo kwenye Id avatar picha ni wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…