Hii imekaaje ?
Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe.
Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona kateuliwa tena 🙄
Je, hakuna watu wengine au what's so special na hawa watu ?
Nadhani wakati wa kura za maoni ndani ya CCM mwaka 2024 tutegemee tena style hii hii.
Je, kwanini iko hivi ?
Kuna yule mwana alikuwa anachezea mbususu ya gigi nani sijui naye kapewa utumishi wa umma, hizi nchi zetu kwanini usimuache afanye biashara zakeHii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!
naitaka sana katiba mpya mkuu sana kuliko chochote, lakini tunatatua vipi matatizo ya ukiukwaji wa katiba na uvunjwaji wa sharia uliyopo sasa na wahusika kutowajibishwaKatiba mpya ilikuwa ufumbuzi sahihi yakiwamo haya ya utitiri wa viongozi wa serikali wasiokuwa na tija wala ridhaa za wananchi.
Tujipange kudai katiba mpya badala ya kuendelea kulalama. Tunaowalalamikia hawasikii wala hawajali.
Msando eeh kapewa Morogoro hapoKuna yule mwana alikuwa anachezea mbususu ya gigi nani sijui naye kapewa utumishi wa umma, hizi nchi zetu kwanini usimuache afanye biashara zake
kwanini unamteua mtu ambaye anafanya haya tena anarekodi na simu yake na ku share hapo akiwa na familiaAlbert Msando
Hao mnaotaka wawape katiba mpya hawawezi kuwapa sababu kama ingalikuwa rahisi toka kelele za katiba zilipoanzaga mngalikuwa mshapewa!Katiba mpya ilikuwa ufumbuzi sahihi yakiwamo haya ya utitiri wa viongozi wa serikali wasiokuwa na tija wala ridhaa za wananchi.
Tujipange kudai katiba mpya badala ya kuendelea kulalama. Tunaowalalamikia hawasikii wala hawajali.
Mbona mtu fulani hajateuliwa mpaka leo? Na mlikuwa mansema huyu ndio mlezi wake?Imagine, yaani mtu anateuliwa baada ya muda anajiuzulu mwenyewe.
Lakini teuzi nyingine zikitokea tena unamwona yumo🤣
naitaka sana katiba mpya mkuu sana kuliko chochote, lakini tunatatua vipi matatizo ya ukiukwaji wa katiba na uvunjwaji wa sharia uliyopo sasa na wahusika kutowajibishwa
mfano wabunge wale 19 na mengine mengi
Hao mnaotaka wawape katiba mpya hawawezi kuwapa sababu kama ingalikuwa rahisi toka kelele za katiba zilipoanzaga mngalikuwa mshapewa!
Mama alishasema Rais hakosei!!!😷😷😷Hii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!
samahani. Yule jamaa wa Twitter anatumia hili jina Jumong. Chimbuko lake hili neno ni lipi? I mean jamaa jina kalitoa wapi?Ile nayo ni rubber stamping tu. Rais Museveni anachagua mke wake na wanapitisha tu, how comes first lady ageuke kuwa Waziri at the same time.
Ni sawa na mama Jumong amteue yule mumewe kuwa waziri 😃
Hapa kwetu hakuna movement ya dhati ya kudai vitu hivyo muhimu.Uganda tunawazidi kwenye kubadilisha Rais tu. Wana demokrasia kuliko sisi.
Wanaruhusu mgombea binafsi na wanahoji matokeo ya urais mahakamani.
Hapa kwetu hivyo vitu vimeshindikana.
Uwe na uhakika kwanza na taarifa inayomhusu mtu ambaye ni "real" kabla ya kuiposti.Hii imekaaje ?
Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe..,