Ni kama tumepata Division IV kwenye darasa liliojaa Division 0.But ukitulinganisha na wenzetu sisi tunaafadhali sana
Samia hakamatiki kabisaView attachment 3244035
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Kafulila anampamba sana mamaView attachment 3244035

Hongera sana Rais SamiaView attachment 3244035

Mama apewe mitano ya nguvuHongera sana Rais Samia
Hongera sana Mama SAMIAView attachment 3244035
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Mama Samia mitano tenaDavid Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
😂😂 Sio promo ila jamaa anajua sana kujenga hoja uongo mbayaM
Mhe. Tumbili kwa hili promo, Mama akutayarishie kiti cha uwaziri mkuu kabisaa
Moody's ni taasisi sio mtu binafsi 😂😂Moody's yeye hahongeki?
Haya maneno unatukosea heshima mtu kama Mimi nalipwaje na Kafulila kwa mfano wakati Kafulila Yuko chini yangu?Nikiangalia huu uzi kama kawaida ID zilizolipwa na Kafulila ndio ziko kwenye mjadala inanipa picha tosha hapa kinachoongelewa ni hot air .
Hakuna uhusiano kati Uchumi na afya za watu?Wabongo akili zenu mnazijua wenyewe Sasa afya ya Uchumi ni ukuaji wa uchumi afya za Wananchi ni zao.
Mimi nadhani mambo kama haya ndio yawe yanazingumziwa na akina Wassira na Makala, Watanzania hawataki bra- bra lazima tujueDavid Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Tatizo la Upinzani huwa hawaoni haya mambo na kazi yao Kubwa ni kupinga na kuficha uso wasione haya.David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Kwanini unakimbilia kuulaumu Upinzani wewe umejisafisha kwa kiasi gani?Tatizo la Upinzani huwa hawaoni haya mambo na kazi yao Kubwa ni kupinga na kuficha uso wasione haya.