David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

View attachment 3243868
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.

"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa

Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.

Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.

#Kazi iendelee
Kafulila jembe sana huyu jamaa
 
Huyu Kafulila ni asset sana kwa Samia amtumie zaidi ya hapa huenda akapata matokeo
 
Mmeiona hiyo taarifa yenyewe maana Kafulila ni full maujanja
 
The confirmed rating follows a thorough assessment of Tanzania’s economic landscape and governance framework conducted in September 2024. Tanzania’s B1 rating places it ahead of its East African Community (EAC) counterparts such as Kenya (B3), Rwanda (B2), and Uganda (B2).
====
Read more at: Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa and follow us on Twitter: x.com Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
 
IMG-20250217-WA0123.jpg
 
Moody's yeye hahongeki?
 
Back
Top Bottom