Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila jembe sana huyu jamaaView attachment 3243868
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
Huyu Kafulila ni asset sana kwa Samia amtumie zaidi ya hapa huenda akapata matokeoView attachment 3243868
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
Sawa ila jamaa sio raia ujueHuyu Kafulila ni asset sana kwa Samia amtumie zaidi ya hapa huenda akapata matokeo
Mmeiona hiyo taarifa yenyewe maana Kafulila ni full maujanjaView attachment 3243868
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
The confirmed rating follows a thorough assessment of Tanzania’s economic landscape and governance framework conducted in September 2024. Tanzania’s B1 rating places it ahead of its East African Community (EAC) counterparts such as Kenya (B3), Rwanda (B2), and Uganda (B2).Mmeiona hiyo taarifa yenyewe maana Kafulila ni full maujanja
Kafulila Muha acha porojo zako kama za Mzee shayoSawa ila jamaa sio raia ujue
Moody's yeye hahongeki?The confirmed rating follows a thorough assessment of Tanzania’s economic landscape and governance framework conducted in September 2024. Tanzania’s B1 rating places it ahead of its East African Community (EAC) counterparts such as Kenya (B3), Rwanda (B2), and Uganda (B2).
====
Read more at: Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa and follow us on Twitter: x.com Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
Anaweza ila ni jambo gumu sanaMoody's yeye hahongeki?
Nimekuelewa ila mijengo mingi ni ishara ya Uchumi kukuaAwamu ya mama pesa ipo tukiacha kufuru ndio maana watu wanapiga mijengo balaa
Hoja yako ni ipi?Huyu sasa atakuwa kafililwa.
Ndio hiyoHoja yako ni ipi?
Sioni hoja yoyote hapo.Ndio hiyo
Hakuna zama pesa ilikuwa rahisiAwamu ya mama pesa ipo tukiacha kufuru ndio maana watu wanapiga mijengo balaa
Roho za kimaskini zinatusumbua, yeye ambaye Baba na Mama wote watanzania kalifanyia nini taifa lake zaidi ya kuishia kuandika upuuzi mitandaoni!.Kafulila Muha acha porojo zako kama za Mzee shayo