David Kafulila: Mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali kuyafikia kwa kutegemea kodi na mikopo pekee

Huyu CEO anajua kazi yake, Serikali inapshwa kuwa vijana wa aina hii
 
Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana
 
Hizi interview zinawaumiza sana CHADEMA
 
Sawa lakini sio raia
 
Hili vugu vugu la Afrika la kuvitoa vyama vya muda mrefu madarakani ni hatua muhimu ya mtu mweusi kutafuta mabadiliko ya kiutawala. Ni ngumu sana kuzuia mabadiliko hata kama robo tatu ya nchi ni polisi.
 
Anaongea mambo asiyofahamu, ana uelewa mdogo sana wa jinsi mambo yalivyo duniani.

Sasa hao wawekezaji wa PPP nao hawana madeni?

Au hata bank asilimia kubwa ya hela zao wanazokopeshea wengine si ni amana za wateja wao (mikopo).

Ujinga mtupu.
 
Mama mitano tena, Kazi iendelee Kafulila sio Raia
 
Hili vugu vugu la Afrika la kuvitoa vyama vya muda mrefu madarakani ni hatua muhimu ya mtu mweusi kutafuta mabadiliko ya kiutawala. Ni ngumu sana kuzuia mabadiliko hata kama robo tatu ya nchi ni polisi.
Mimi nadhani hoja sio kukaa miaka mingi madarakani ila kushindwa kuwatumia Wananchi,

Kama chama kinawatumikia watu kwa usahihi unakitoaje?
 
Wewe nawe bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…