Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Serikali inatakiwa kuweza sera nzuri za uwekezaji, kuweka mikataba rafiki Kwa wanufaika wote, Ili tupunguze tatizo la ugumu wa maisha ya wananchi.Kwanini utafute njia Mbadala ?!! Kama kuna opportunity mtu binafsi atachukue opportunity hio ili apate faida at the same time kutoa mahitaji; Jambo lililo wazi Private entities wanaangalia faida / Profit hawapo pale kutangaza Injili au kutoa Huduma, Lakini hawa wanaochukua Kodi za Mwananchi kuna mambo lazima wahakikishe kuna alternative kwa mlipa Kodi; Afya; Nishati; Elimu n.k.;
Kwahio waache watu Binafsi wajinafasi wala usiwapangie lakini vitu vya Huduma lazima UMMA uwe na alternative na kwa kutumia Kodi zao tuhakikishe Huduma hizo zipo...; Hizi ndoa za PPPs mwisho wa siku ni watu kufuja pesa zetu na kuwa bailed out na Kodi zetu...
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...www.jamiiforums.com
Hii ni njia nzuri mojawapo, Kama itatengenezewa, mazingira mazuri ya utekelezwaji. Shida siyo kusema, shida ni kutekelezwa Kwa namna inavyotakiwa.