David Kafulila: Mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali kuyafikia kwa kutegemea kodi na mikopo pekee

Kwanini utafute njia Mbadala ?!! Kama kuna opportunity mtu binafsi atachukue opportunity hio ili apate faida at the same time kutoa mahitaji; Jambo lililo wazi Private entities wanaangalia faida / Profit hawapo pale kutangaza Injili au kutoa Huduma, Lakini hawa wanaochukua Kodi za Mwananchi kuna mambo lazima wahakikishe kuna alternative kwa mlipa Kodi; Afya; Nishati; Elimu n.k.;

Kwahio waache watu Binafsi wajinafasi wala usiwapangie lakini vitu vya Huduma lazima UMMA uwe na alternative na kwa kutumia Kodi zao tuhakikishe Huduma hizo zipo...; Hizi ndoa za PPPs mwisho wa siku ni watu kufuja pesa zetu na kuwa bailed out na Kodi zetu...

Serikali inatakiwa kuweza sera nzuri za uwekezaji, kuweka mikataba rafiki Kwa wanufaika wote, Ili tupunguze tatizo la ugumu wa maisha ya wananchi.

Hii ni njia nzuri mojawapo, Kama itatengenezewa, mazingira mazuri ya utekelezwaji. Shida siyo kusema, shida ni kutekelezwa Kwa namna inavyotakiwa.
 
Kama kuna faida watu watawekeza (hio ndio nature of the beast) watu wamewekeza kwenye simu (makampuni binafsi) sio kwamba wanaipenda serikali au wanataka kutoa huduma bali kuna faida kubwa, after all serikali inawabana balaa na double taxation lakini bado wapo sababu kuna faida...

Sasa kuna vitu ambavyo ni huduma pia (Nishati, Usafiri, affordable housing, Afya n.k.) hivyo inabidi serikali ichochee pia na sio kwa kuingia Ubia ambao wanaweza pia wabia wakashirikiana kutafuta kodi zetu, bali wote kuwepo uwanjani kwenye free market (mfano TTCL huku kuna Serikali ishindane na kina Voda) Huku umeme wafanye usambazaji (TANESCO) na kuwaachia wadau kama wanaweza kuzalisha cheaper kuliko wao ili wawauzie; Vivuko hata vikiwepo vya binafsi ila na vya serikali vipo kama alternative..., Huku SGR iwepo kwa kutoa huduma gharama sawa na bure wakati wengine wakitaka waingie na zao na kutoa premium service napo ruhusa

Penye Pesa na penye fursa ya kuina watu wataiba hususan watu wa sasa madalali wasio wazalendo wapenda matumbo yao.., sasa kama kuna loopholes za kupiga na kufanya kazi substandard wakijua fika serikali ipo ya kuweza kufanya bail out watafanya hivyo...

Ndio maana wawekezaji wafanye kivyao kwa kujinafasi bila kupangiwa kitu na kwenye huduma serikali iwepo pia inatoa huduma hizo kwa kuangalia na kuhakikisha wana meet requirements au wanafukuzwa waliopo kutokana na kushindwa kazi
 
Tatizo lako unachukia Ubia ila hoja zingine ni nzuri unatoa
 
Serikali inatakiwa kuweza sera nzuri za uwekezaji, kuweka mikataba rafiki Kwa wanufaika wote, Ili tupunguze tatizo la ugumu wa maisha ya wananchi.

Hii ni njia nzuri mojawapo, Kama itatengenezewa, mazingira mazuri ya utekelezwaji. Shida siyo kusema, shida ni kutekelezwa Kwa namna inavyotakiwa.
Naungana na wewe Serikali lazima iwe na sera wezeshi hasa kwa makampuni ya ndani
 
Tatizo lako unachukia Ubia ila hoja zingine ni nzuri unatoa
Ubia kwenye nini ? Ubia mfano tukitoa Eneo la mtu kujenga barabara ambayo hatuna mpango wa kujenga kwa sasa ili akimaliza tumpe aendeshe kwa faida kwa miaka hata thelasini alafu atuachie hio ni sawa..., Ubia ni mzuri pale ambapo kuna win situation kwa UMMA na Serikali haina alternative wala uwezo wa kufanya hivyo na ni Huduma; mfano

Hatujitaji kutumia Kodi zetu kuwabeba mbeleko watu binafsi (for profit) wajitafute wenyewe wawekeze na kufanya wanachofanya hakuna sababu ya kutengewa chakula kwenye silver platter (vile vile wakishawekeza tuwaache wajinafasi sio kuanza kuwapangia bei au kuwawekea red tapes)
 
Lakini nadhani ndivyo ilivyo, Mwekezaji anapewa eneo anawekeza baadae mkataba ukiisha analirejesha Serikali
 
Hio ni aina ya PPP moja ambayo ilikuwa ikitumika na inatumiwa ila hata hio Mwekezaji anaweza akapewa eneo la matrillioni ukafanyika mradi white elephant na wenye hasara yale madai yakapelekea mabenki n.k. kudai chao na mwisho wa siku watu kujiuzia hilo eneo kwa bei chee (kutokana na kwamba mradi umekuwa hauna faida)

Au wananegotiate faida na kugawana kwa kiasi fulani lakini sababu kunatokea mabadiliko inabidi mbia na yeye achangie hasara.., In short PPPs zina loopholes nyingi za upigaji na kwa nchi ambazo hazina wazalendo ni kama kuwapa fursa ya wizi...
 
Wewe ni akili kubwa sana jf ikutumie vizuri
 
Sasa Tundu Lissu yeye mwenyewe anaishi ugenini anaogopaje Wageni?

Kwa maoni yangu CCM ndio chama chenye sera Bora zaidi ya chama chochote Africa kwa sasa
Last time i check tundu lissu anaishi hapa hapa bongo. Ugenini angeshindwa kugombea na kuendesha kampeni let alone ku run chama
 
Ubia kwenye nini ? Ubia mfano tukitoa Eneo la mtu kujenga barabara ambayo hatuna mpango wa kujenga kwa sasa ili akimaliza tumpe aendeshe kwa faida kwa miaka hata thelasini alafu atuachie hio ni sawa..., Ubia ni mzuri pale ambapo kuna win situation kwa UMMA na Serikali haina alternative wala uwezo wa kufanya hivyo na ni Huduma; mfano

Hatujitaji kutumia Kodi zetu kuwabeba mbeleko watu binafsi (for profit) wajitafute wenyewe wawekeze na kufanya wanachofanya hakuna sababu ya kutengewa chakula kwenye silver platter (vile vile wakishawekeza tuwaache wajinafasi sio kuanza kuwapangia bei au kuwawekea red tapes)
Wewe jamaa ni akili kubwa sana natamani kukaa na wewe nipate haya madini
 
Hapo ndipo kwenye ngonjera hapo.

Tunaona wageni hao ndio wataleta neema wakati wao ni kuchota tyu wanaoneemeka maradufu ya Watanzania.

===

Mh. Tundu Lissu yumo mbioni kubadilisha hayo.

My take, Maendeleo yataletwa na sisi wenyewe. Change your mindset.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila amenukuliwa akisema " Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi kama chanzo pekee Cha mapato Cha Serikali hivyo ni lazima Serikali zetu kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji hayo ya binadamu"

Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali yoyote duniani katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.

zaidi sana msikilize kwa undani hapa

View attachment 3226930
Tanzania inasonga kwa Kasi mno tatizo kubwa Kwa Sasa ni rushwa tu,

Lissu yeye anamipango gani na yeye au ndio kila mtu anatamani kuwa Rais wa nchi wakati mipango ni sifuri kabisa!!

Kwa maoni yangu mama Samia apewe mitano ya mwisho
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila amenukuliwa akisema " Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia kuyafikia na kuyatatua kwa wakati kwa kutegemea Mikopo na Kodi kama chanzo pekee Cha mapato Cha Serikali hivyo ni lazima Serikali zetu kutafuta njia Mbadala za kuyafikia kwa wakati mahitaji hayo ya binadamu"

Akizungumza kwenye Kipindi Cha DK 45 kinachorushwa na kituo cha utangazaji Cha ITV Kafulila amesema msisitizo wa kutumia Sekta binafsi Kama njia ya kuipa unafuu Serikali yoyote duniani katika kuwahudumia Wananchi wake umetolewa kwenye majukwaa mbalimbali ya Kiuchumi Duniani likiwemo la Energy Summit iliyofanyika Jiji Dar es salaam.

zaidi sana msikilize kwa undani hapa

View attachment 3226930
Kafulila amenifanya niipende PPP
 
Kwani PPP haiwezi kuwekwa mfukoni na watu wabaya?
 
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom