Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kweli njaa mbaya sana aisee. Huyu jamaa alivyokuwa anaichachafya CCM hasa kwenye ule ufisadi wa IPTL na Tegeta EScrow siamini kama ni yeye leo ndio kageuka chawa pro max mpaka wale wezi kule CCM wanamshangaa. Ukiwa mpiga kelele kuhusu ufisadi wa CCM kwenye fedha za umma wanakuita na kukukaribisha ili mle pamoja na wakati unakula nao huruhusiwi kuongea ongea tenaMkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%
Huyu Tumbili kazidisha uchawa, hata aibu imemtokaMkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%
Huyu sasa ni zaidi ya chawa. Ripoti zinaeleza wazi yeye anataka kumdanganya nani?Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%
TAKATAKAMkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%
CAG report inakupingaMkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma .
Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%
wewe unataka ukweli upi?Akawadanganye vichaa pale Milembe Dodoma ndio watamuelewa sio sisi.