David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

Hoja nzuri sana hii mkuu
 
Kafulila anampenda sana Mama Samia sio Kwa kampeni hizi.
 
Ni kweli mkuu kwani wewe huko kwako hakuna umwagiliaji? Hata kilimo cha nyanya ni umwagiliaji
 
Kampeni kubwa sana hii
 
Ushawahi kulima kweli wewe?
 
Waziri pia apokee hongera zake nyingi
 
Hongera
 
Nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…