David Kafulila na Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaibeba CHADEMA katika Hoja zote za Masuala ya Uchumi.

Kama walikuwa na HOJA wasingeachwa na wake zao, halima bulembo kamuacha zitto, Jessica kishoa(COVID 19) kamuacha mume kafulila
Ila huyu Kiswaswadu ana roho mbaya sana ndiye kamnyang'anya tumbili nke wake
 
Anajipigia sana promo na kwa serikali hii atapewa tu. Alafu inakuwaje Katibu Mkuu wa Chama anasema wabadhirifu na majizi yaombewe wakati kuna Mahakama na Magereza. Nchi imekuwa ya hovyo sana awamu hii
Hu
Kwahiyo tukusaidie nini. Washauri waendelee kujenga hizo hoja huko waliko. Na je mpaka sasa zimekusaidiaje wewe kiuchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…