David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

😃😃😃Hujawahi kuwa na akili hata siku moja wewe. Nani kakwambia nipo Lumumba kushindia kahawa😃😃. Hivi bado mnabugia viroba
Upo Lumumba SEMA unajifanya hushindi hapo wakati tunakujua vilivyo fanya kazi ACHA kutegemea wanaume wa mjini ona walivyokuhalibu maumbole umekua legelege kama mtoto njiti.
 
Upo Lumumba SEMA unajifanya hushindi hapo wakati tunakujua vilivyo fanya kazi ACHA kutegemea wanaume wa mjini ona walivyokuhalibu maumbole umekua legelege kama mtoto njiti.
Nakusamehe bure kabisa .maana natambua kuwa wengine kama wewe mnaingia humu jukwaani mkiwa na msongo wa mawazo.
 
Mheshimiwa Kafulila amepitia Mambo magumu sana na majaribu makubwa sana . lakini cha kutia moyo ni kuwa bado Mheshimiwa Kafulila ameendelea kusimama imara na kwa uzalendo wake mkubwa pasipo kusaliti misingi yake ya kusimamia ukweli.
Mambo ni mengi magumu kapitia ndg huyu ndio maana tunasema hii ni hazina kwa Taifa la Tanzania.
 
Mambo ni mengi magumu kapitia ndg huyu ndio maana tunasema hii ni hazina kwa Taifa la Tanzania.
Unajua tatizo kubwa la Tanzania Watu hawana historia za viongozi wengi na ndio maana hawawapi heshima zao ila kama wangejua mipito wamepitia wangewaheshimu sana.
Lakini kwa Kafulila najifunza kuwa katika mapito yote hakuna kukata tamaa.
Mungu mbariki huyu Kafulila
 
Anapambana sana na anatakiwa kupewa nguvu ,kutiwa moyo na kuungwa mkono. Ikumbukwe siyo wote wanaofurahia kazi nzuri na ya kizalendo anayoifanya kuisemea serikali ya Rais Samia. Wengine wanapenda sana kuona serikali yetu na Rais wetu wakishambuliwa kwa nguvu bila kupata watetezi. Kwa hiyo wanapojitokeza watetezi aina ya David Kafulila wanakuwa wanaonekana kama maadui na wakwamishaji wa ajenda mbaya za siri Kwa Rais Samia na Serikali yake.

Kama vitu vinafanyika si vinaonekana?

Why itumike nguvu kubwa kuonesha watu kuwa kuna Jambo linafanyika?

Mfano mradi wa mwendokasi, Lete magari mengi, tengeneza mfumo mzuri wa ticket uone kama kutakuwa na nguvu nyingi ya kupiga kelele

Au wizi wa Halmashauri zetu, ni kitu kinajulikana na kipo miaka yote,

So mnataka kuweka nguvu nyingi Kwa mtu ambae anapambana kutetea mambo ya kusadikika kuliko kufanya kusadikika kuwa ukweli
 
Rais wetu ni mzalendo na anayependa na kuwapenda sana wachapa kazi na WAZALENDO aina ya Mheshimiwa David Kafulila.kwa hiyo naamini hata Mheshimiwa Rais anaona kazi nzuri anayoendelea kuifanya Mheshimiwa Mheshimiwa Kafulila na atajuwa amuweke wapi ili atumike vyema zaidi kwa maslahi ya Taifa letu.

Lakini naona itapendeza sana ikiwa mwakani akiungwa mkono ili aingie Bungeni na kupewa nafasi yakuwa ndani ya Baraza la Mawaziri. Naamini atapiga kazi mpaka Dunia itashangaa. Na wala Mheshimiwa Rais hatajuta kumpa nafasi ya kutumika katika baraza lake la Mawaziri.

Hivi Lucas uwa unaelewa maana ya uzalendo?

Naona kama unachanganya mambo
 
Hivi Lucas uwa unaelewa maana ya uzalendo?

Naona kama unachanganya mambo
Ndio naelewa vyema sana na ndio maana najiiita Mzalendo ambaye nipo tayari kufa kwa ajili ya Taifa langu. Huwa nacheka sana nikikumbuka biti zako ulizokuwa ukinipiga humu na kunitishia kuwa nisiandike😃😃😃. Vipi uliishia wapi au bado upo kwenye mipango bado?
 
Kama vitu vinafanyika si vinaonekana?

Why itumike nguvu kubwa kuonesha watu kuwa kuna Jambo linafanyika?

Mfano mradi wa mwendokasi, Lete magari mengi, tengeneza mfumo mzuri wa ticket uone kama kutakuwa na nguvu nyingi ya kupiga kelele

Au wizi wa Halmashauri zetu, ni kitu kinajulikana na kipo miaka yote,

So mnataka kuweka nguvu nyingi Kwa mtu ambae anapambana kutetea mambo ya kusadikika kuliko kufanya kusadikika kuwa ukweli
Nadhani hakuna nguvu yoyote ila Jf Kila mtu anasema matamanio yake so lazima kuheshimu Kila tamanio la mtu hata kama ni Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom