David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Fuatilia tu utaelewa ndio maana Nakwambia jamaa Sio strong kiivo kama anaweza kuacha mtu akamchapia mkewe hivihivi
Sijaja kuzungumzia ndoa humu so sikujibu tena mengine mtafute Kafulila mwenyewe.
 
Pamoja na yote hayo bado JAMAAA akapigwa chini serikalini CCM BWANA
 
CHAWA CO. LTD
 
Hata kama ila sio wazi kama huyu jamaa anajifanya busara nyingi mpaka kwenye familia
Usiombe hii kitu omba sana Mungu akusaidie na akuepushe na mambo kama haya
 
Kafulila Mimi namkubali sana, Hana swaga kama za Makonda ni mkimya na anachapa kazi kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…