The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
A
Asijebubujikwa na machozi huyoTutaongea! Tusimwage mchele kwenye kuku wengi🤸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asijebubujikwa na machozi huyoTutaongea! Tusimwage mchele kwenye kuku wengi🤸
Naunga mkono kabisa hoja yako.Yes,
Huo ndio uwajibikaji katika uongozi.
Lazma thamani ya miradi ya maendeleo isimamiwe vyema kwa weledi, kulingana na thamani ya jasho la walipa kodi waTanzania. wanaoleta mzaha na kazi za maendeleo wawajibishwe inavyostahili 🐒
Naamini muda ukifika atampatia tu na wala hatajuta kumpatia kazi Mheshimiwa Kafulila.Apewe maua yake,
Kwanini Mama asimpe walau nafasi ya kiutendaji?
Naunga mkono hoja. Ni wakati wa Mheshimiwa Kafulila kurejea Bungeni kwa kishindo.Mungu ni mwema naamini atamsaidia na kumuwezesha kuingia Bungeni.David ni kama Daud tu
Arudi Bungeni tupate madini ,
Samia mitano tena, Kazi iendelee
Ni ujasiri wa hali ya juu sana alionao Mheshimiwa Kafulila.kwa hakika anastahili pongezi na kuungwa mkono kwa uchapa kazi wake pamoja na uzalendo wake.Kafulila ana kitu hata hivyo ni jasiri na anafanya maamuzi sahihi na kwa wakati, RC Ku-deal na mkandarasi kwa kiasi hiki ni uthubutu mzuri
Hajawahi kupoa wala kutulia.ni mwendo wa kusaga tu uchafu na uozo wote wa wazembe na wabadhirifu. Yeye hanaga habari za kupinda pinda.Kafulila nilidhani baada ya Escrow alitulia kumbe bado anapiga spana😂😂
Kwa hakika Taifa letu linawahitaji akina Kafulila wengi sana watakao saidia kulipeleka mbele Taifa letu kutokana na uzalendo na uchapakazi wao.Yes David,
Ni miongoni mwavijana wachache ambao huwezi kuwanunua kwa namna yeyote ile.
Sisi kama vijana lazima tujifunze kujitambua na kutambua vijana wenzetu ambao ni tumaini kwaajili ya Chama chetu na Serikali yetu.
Kafulila amekuwa role model wa wengi katika Uadilifu na Utumishi.
Kafulila chapa kazi tuko na Wewe tuko na Mama yetu Kipenzi asiyekuwa na Mpinzani.
Kama umesaidia kuokoa zaidi TZS40BIL za Watanzania hawa masikini acha tukupongeze.
#VIVA SAMIA VIVA, VIVA KAFULILA VIVA
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Habari niliyoileta ni ya kweli kabisa ndugu yangu.Kama ni kweli jamaa Yuko vizuri ila wabongo tunadanganyana sana
Naunga mkono hoja.Kama kuna Usajili CCM imewahi kuufanya katika Taifa hili basi wa huyu kijana.
Huwezi msikia kwenye skendo yoyote ya up pigaji tangu akiwa Mbunge mpaka Leo sijui nani huko.
CCM tumtunzeni huyo jamaa atatuwasaidia siku moja.
ChaiNdugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni jambo la ukweli kabisa nililo lieleza hapa.Chai
😂😂😂A
Asijebubujikwa na machozi huyo
Huna uelewa wowote kuhusiana na mikataba ya ujenzi, hizo story zenu za vijiweni niuongo mtupuNi jambo la ukweli kabisa nililo lieleza hapa.
Wivu wako utakuuwa haraka sanaHuna uelewa wowote kuhusiana na mikataba ya ujenzi, hizo story zenu za vijiweni niuongo mtupu
Wivu wako utakuuwa haraka sankaful
Kafulila ni mtu safi sawa, lkn ulichokiandika ni utopolo, mkuu wa mkoa hana hiyo mandate ya kumwamuru mkandarasi arudie barabara, andiko la kitoto hili umeleta humu, mods wafute hii takatakaWivu wako utakuuwa haraka sana
Huna uelewa wowote kuhusiana na mikataba ya ujenzi, hizo story zenu za vijiweni niuongo mtupu
Mkuu kuuliza si ujinga, wewe ndio Mwananchi Huru ?Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe unaelewa ninachoandika?Sijui kama unaelewa unachoandika