David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Wakati Mwingine Mungu anakuepusha na mabaya mbeleni
Sasa kama Mungu alishanipa huyo kuwa mke wangu kwanini tena aniepushe nae jua kabisa hapo Shetani kaingia kati tayari.
 
Sasa kama Mungu alishanipa huyo kuwa mke wangu kwanini tena aniepushe nae jua kabisa hapo Shetani kaingia kati tayari.
Kama hilo unalijua why umlaumu Kafulila?
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Mimi ni CHADEMA ila nampenda sana Kafulila Kwa hoja na Uzalendo alionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ