David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Yes,

Huo ndio uwajibikaji katika uongozi.

Lazma thamani ya miradi ya maendeleo isimamiwe vyema kwa weledi, kulingana na thamani ya jasho la walipa kodi waTanzania. wanaoleta mzaha na kazi za maendeleo wawajibishwe inavyostahili 🐒
Naunga mkono kabisa hoja yako.
 
David ni kama Daud tu

Arudi Bungeni tupate madini ,

Samia mitano tena, Kazi iendelee
Naunga mkono hoja. Ni wakati wa Mheshimiwa Kafulila kurejea Bungeni kwa kishindo.Mungu ni mwema naamini atamsaidia na kumuwezesha kuingia Bungeni.
 
Kafulila ana kitu hata hivyo ni jasiri na anafanya maamuzi sahihi na kwa wakati, RC Ku-deal na mkandarasi kwa kiasi hiki ni uthubutu mzuri
Ni ujasiri wa hali ya juu sana alionao Mheshimiwa Kafulila.kwa hakika anastahili pongezi na kuungwa mkono kwa uchapa kazi wake pamoja na uzalendo wake.
 
Kwa hakika Taifa letu linawahitaji akina Kafulila wengi sana watakao saidia kulipeleka mbele Taifa letu kutokana na uzalendo na uchapakazi wao.
 
Kama kuna Usajili CCM imewahi kuufanya katika Taifa hili basi wa huyu kijana.
Huwezi msikia kwenye skendo yoyote ya up pigaji tangu akiwa Mbunge mpaka Leo sijui nani huko.
CCM tumtunzeni huyo jamaa atatuwasaidia siku moja.
Naunga mkono hoja.
 
Chai
 
Humu kuna watu wanadhani jamaa amekula uteuzi wa mkuu wa mkoa 😀
 
Mkuu kuuliza si ujinga, wewe ndio Mwananchi Huru ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…