Shekaina Glory
JF-Expert Member
- Jun 18, 2025
- 207
- 116
“Kwa mtazamo wa kiuchumi, ndege zetu hazina hasara – zinafungua milango ya utalii, na watalii wanatuingizia mapato makubwa mno kuliko hasara ndogo ya kihasibu. Hiyo ndiyo faida ya kweli kwa Taifa,” alisema Kafulila.
nakutukana kafulila kwa jina la shetaniView attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila, alisisitiza kuwa migogoro mikubwa ya dunia siku za usoni haitatokana na mafuta au gesi, bali maji. Watafiti wanasema huenda Vita ya Tatu ya Dunia ikapiganwa kwa sababu ya maji, hali inayoibua changamoto na fursa kubwa kwa Tanzania.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya makubwa katika sekta ya utalii, hasa upande wa watalii wa ndani, na hili limekuwa chachu ya ukuaji wa mapato ya Taifa. Ongezeko kubwa la mapato linaonesha wazi kuwa ubora wa vivutio na huduma za utalii nchini umeimarika.
Mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita,
Watalii wameongezeka kutoka milioni 1.4 mwaka 2020 hadi zaidi ya milioni 5.3 mwaka 2024. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka dola milioni 700 hadi dola bilioni 3.9 (zaidi ya Sh. trilioni 10). Mapato ya utalii wa ndani yameongezeka kutoka Sh. bilioni 46.3 hadi bilioni 209.8.Kuhusu mjadala wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kafulila alifafanua kuwa kuna tofauti kati ya accounting loss (hasara ya kihasibu) na economic loss/profit (faida au hasara halisi ya kiuchumi).
Kwa mujibu wake, hata kama kihasibu ATCL inaonekana kupata hasara, ndege zake zimekuwa zikileta maelfu ya watalii walioliletea Taifa faida ya zaidi ya dola bilioni 3.9. Hii ni faida ya kiuchumi kubwa mno kuliko hasara ndogo ya kimaandishi inayotajwa na CAG.
duuuhnakutukana kafulila kwa jina la shetani
🚮View attachment 3461458

Kafulila aendelea hivi hivi,View attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.

Ukisikia mtu anasema ndege za atcl zinaleta watalii jua huyo ni mpumbavu.View attachment 3461458

View attachment 3461458

hakuna kitu hapa
KAFULILAKafulila unajitahidi kurecruit machawa bahati mbaya ni akili zako ndogo sana wote wanakuja na strategy ile ile hivyo ID zote 25+ zinajulikana.
tumbiliKAFULILA
Hapo kwenye shirika ameongea nonsenseView attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya makubwa katika sekta ya utalii, hasa upande wa watalii wa ndani, na hili limekuwa chachu ya ukuaji wa mapato ya Taifa. Ongezeko kubwa la mapato linaonesha wazi kuwa ubora wa vivutio na huduma za utalii nchini umeimarika.
Mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita,
Watalii wameongezeka kutoka milioni 1.4 mwaka 2020 hadi zaidi ya milioni 5.3 mwaka 2024. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka dola milioni 700 hadi dola bilioni 3.9 (zaidi ya Sh. trilioni 10). Mapato ya utalii wa ndani yameongezeka kutoka Sh. bilioni 46.3 hadi bilioni 209.8.Kuhusu mjadala wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kafulila alifafanua kuwa kuna tofauti kati ya accounting loss (hasara ya kihasibu) na economic loss/profit (faida au hasara halisi ya kiuchumi).
Kwa mujibu wake, hata kama kihasibu ATCL inaonekana kupata hasara, ndege zake zimekuwa zikileta maelfu ya watalii walioliletea Taifa faida ya zaidi ya dola bilioni 3.9. Hii ni faida ya kiuchumi kubwa mno kuliko hasara ndogo ya kimaandishi inayotajwa na CAG.
Huyo zaidi ya kujadili mambo ya umbea na fitina anajulia wapi hoja za kiuchumi?britanicca is this true what Tumbili is propagating?
PLPL amejikita kwenye hoja za umbea na chuki ,ni zero brain kwenye Uchumi.Kafulila kama wewe mwamba wa siasa pambana na polepole tuone