Itapikwa data hapo jibu lake utabaki mdomo wazi!Watalii wangapi wanapanda ATC kuja Tanzania?
Amandla...
Kafulila aache porojo. ATC ipate hasara kiuhasibu (kifedha) halafu isiwe na effect kiuchumi!? Hakuna uhasibu bila fedha na wala uchumi hauwezi kuwa mzuri bila fedha. Hao watalii wataimarishaje uchumi ikuwa hela wanayotoa badala ya kujenga miundombinu inayo weka mazingira mazuri ya uwekezaji inaenda kufidia hasara ya kiuhasibu iliyotokea ATC ili shirika hilo lisife.View attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya makubwa katika sekta ya utalii, hasa upande wa watalii wa ndani, na hili limekuwa chachu ya ukuaji wa mapato ya Taifa. Ongezeko kubwa la mapato linaonesha wazi kuwa ubora wa vivutio na huduma za utalii nchini umeimarika.
Mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita,
Watalii wameongezeka kutoka milioni 1.4 mwaka 2020 hadi zaidi ya milioni 5.3 mwaka 2024. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka dola milioni 700 hadi dola bilioni 3.9 (zaidi ya Sh. trilioni 10). Mapato ya utalii wa ndani yameongezeka kutoka Sh. bilioni 46.3 hadi bilioni 209.8.Kuhusu mjadala wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kafulila alifafanua kuwa kuna tofauti kati ya accounting loss (hasara ya kihasibu) na economic loss/profit (faida au hasara halisi ya kiuchumi).
Kwa mujibu wake, hata kama kihasibu ATCL inaonekana kupata hasara, ndege zake zimekuwa zikileta maelfu ya watalii walioliletea Taifa faida ya zaidi ya dola bilioni 3.9. Hii ni faida ya kiuchumi kubwa mno kuliko hasara ndogo ya kimaandishi inayotajwa na CAG.
hakuna kitu hapa
Hata wakati Magufuli yupo madarakani ATCL lilikuwa halipati hasara ila alivyoondoka CAG akafumua kwenye Mshono ,hata kipindi hichi cha Hangaya alipati hasara tutakuja kujua akishaondoka madarakani..View attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya makubwa katika sekta ya utalii, hasa upande wa watalii wa ndani, na hili limekuwa chachu ya ukuaji wa mapato ya Taifa. Ongezeko kubwa la mapato linaonesha wazi kuwa ubora wa vivutio na huduma za utalii nchini umeimarika.
Mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita,
Watalii wameongezeka kutoka milioni 1.4 mwaka 2020 hadi zaidi ya milioni 5.3 mwaka 2024. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka dola milioni 700 hadi dola bilioni 3.9 (zaidi ya Sh. trilioni 10). Mapato ya utalii wa ndani yameongezeka kutoka Sh. bilioni 46.3 hadi bilioni 209.8.Kuhusu mjadala wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kafulila alifafanua kuwa kuna tofauti kati ya accounting loss (hasara ya kihasibu) na economic loss/profit (faida au hasara halisi ya kiuchumi).
Kwa mujibu wake, hata kama kihasibu ATCL inaonekana kupata hasara, ndege zake zimekuwa zikileta maelfu ya watalii walioliletea Taifa faida ya zaidi ya dola bilioni 3.9. Hii ni faida ya kiuchumi kubwa mno kuliko hasara ndogo ya kimaandishi inayotajwa na CAG.
Ni kweli ndio maana Asaad alichomolewaHata wakati Magufuli yupo madarakani ATCL lilikuwa halipati hasara ila alivyoondoka CAG akafumua kwenye Mshono ,hata kipindi hichi cha Hangaya alipati hasara tutakuja kujua akishaondoka madarakani..
empty aongee yote haya?Mh@! Huyu jamaa kichwani ni empty kbs
Kaongea nini la maana hapoempty aongee yote haya?
WEWE UMESIKIA NINI?Kaongea nini la maana hapo
Unaweza kutukana matusi ya dunia nzimaView attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya makubwa katika sekta ya utalii, hasa upande wa watalii wa ndani, na hili limekuwa chachu ya ukuaji wa mapato ya Taifa. Ongezeko kubwa la mapato linaonesha wazi kuwa ubora wa vivutio na huduma za utalii nchini umeimarika.
Mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita,
Watalii wameongezeka kutoka milioni 1.4 mwaka 2020 hadi zaidi ya milioni 5.3 mwaka 2024. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka dola milioni 700 hadi dola bilioni 3.9 (zaidi ya Sh. trilioni 10). Mapato ya utalii wa ndani yameongezeka kutoka Sh. bilioni 46.3 hadi bilioni 209.8.Kuhusu mjadala wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kafulila alifafanua kuwa kuna tofauti kati ya accounting loss (hasara ya kihasibu) na economic loss/profit (faida au hasara halisi ya kiuchumi).
Kwa mujibu wake, hata kama kihasibu ATCL inaonekana kupata hasara, ndege zake zimekuwa zikileta maelfu ya watalii walioliletea Taifa faida ya zaidi ya dola bilioni 3.9. Hii ni faida ya kiuchumi kubwa mno kuliko hasara ndogo ya kimaandishi inayotajwa na CAG.
sio wote sijui kama unajua.Watalii wenyewe wanakuja na kuondoka na Emirates Air au Ethiopian Air.
Wengi hawajui ndege zetu zina ban European countries kutokana na kuto kidhi viwango vya usalama.sio wote sijui kama unajua.
Kafulila yupo njema sana kwenye ujenzi wa hoja. Uzi wa aina hii wachangiaji wanakuwa wachache wengi wapo kule kwa yule kasuku Polepole na wengine wanamsoma Mange, tunapenda mambo mepesi mepesi yasiyoumiza vichwa vyetu.View attachment 3461458
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya makubwa katika sekta ya utalii, hasa upande wa watalii wa ndani, na hili limekuwa chachu ya ukuaji wa mapato ya Taifa. Ongezeko kubwa la mapato linaonesha wazi kuwa ubora wa vivutio na huduma za utalii nchini umeimarika.
Mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita,
Watalii wameongezeka kutoka milioni 1.4 mwaka 2020 hadi zaidi ya milioni 5.3 mwaka 2024. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka dola milioni 700 hadi dola bilioni 3.9 (zaidi ya Sh. trilioni 10). Mapato ya utalii wa ndani yameongezeka kutoka Sh. bilioni 46.3 hadi bilioni 209.8.Kuhusu mjadala wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kafulila alifafanua kuwa kuna tofauti kati ya accounting loss (hasara ya kihasibu) na economic loss/profit (faida au hasara halisi ya kiuchumi).
Kwa mujibu wake, hata kama kihasibu ATCL inaonekana kupata hasara, ndege zake zimekuwa zikileta maelfu ya watalii walioliletea Taifa faida ya zaidi ya dola bilioni 3.9. Hii ni faida ya kiuchumi kubwa mno kuliko hasara ndogo ya kimaandishi inayotajwa na CAG.
Sio kweli tafuta taarifa za kitaalam kuliko kuingizwa mkenge kirahisi.Wengi hawajui ndege zetu zina ban European countries kutokana na kuto kidhi viwango vya usalama.
Wewe ndio mtupu kichwani. Ana data katika hoja zake.Mh@! Huyu jamaa kichwani ni empty kbs
Wewe mpuuzi tu jikite kwenye hoja na mantiki inayozungumzwa punguza kushabikia udaku unakuongezea chuki kichwani mwako.Kajinga sana haka kakijana, hakajawahi kuwa na uwezo wa akili zaidi ya akili ya kuvukia barabara tangia kakiwa kadogo japo tangia kajiondoe upinzani na kuwa kibaraka "mfungwa huru" akili yake imekuwa kama tissue papers za kufutia majimaji machafu ya KE wakati wa tendo la kugonoka.
Akawaulize wafanyabiashara hata Mamalishe anaelewa kuwa hasara ni hasara huwa haina mbadala wake, Ethiopian Airlines, KQ au QatarAirways kama kuna tofauti yoyote linapokuja suala la hasara.
Kaambieni kaache kujipendekeza, hilo Shirika la ATCL [na ndege zote]litakufa rasmi ifikapo 2035.
Haka kainchi ka Wadanganyika kana laana kubwa hasa kwa kuokoteza vilaza na kuwapa majukumu mazito sana kwa vigezo vya watu kuongea sana au kuwaziba midomo wakati wakiwa vyama pinzani.
Kafuliwa na Mchungaji wa Iringa tangia waunge juhudi hata ile akili kidogo ya kuvukia barabara waliyokuwa nayo kwa sasa wameizima au imezimwa jumla.
Kwa kweli poleni sana ATCL.
Kafuliwa a.k.a Tumbili, ajifunze hata kwa huyu Mama Aida Kenan, alichosema. Hasara ni hasara.