David Kafulila: Shirika la ndege ATCL chini ya Rais Samia halijawahi kuleta hasara za kiuchumi ila za kihasibu tu

Kitu kikioza kimeoza hakifai kwa chochote Hongera Mr.Tumbili.
 
Kafulila Mimi nakukubali sanà
 
Tufanye tunakubaliana na wewe, lakini ulipaswa utuambie kwa upande wa ATCL ni kwa kiwango gani (figures) mauzo ya tickets yako juu ama chini vs gharama za uendeshaji wa taasisi kama mafuta, matengenezo, mishahara n.k then hiyo profit/loss ya kiuhasibu ina direct impacts gani kwa Utalii (economic profit) kwa maana faida ya utalii yenye kutokana na ATCL badala ya kututajia mapato ya utalii in general ambayo yanaweza kuchagizwa na sekta zingine.

Ikumbukwe kuwa si kila mtalii wa ndani au nje ametumia hiyo ATCL na si faida yote ya utalii imeletwa na ATCL ulipaswa utuambie how much Tzs/Usd currency pekee imeletwa na ATCL tu.
 
Tumbili shenzi kabisa alisema Werema
 
Nailed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…