PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,535
Reaction score
2,226
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema,

Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometa 6,000 tangu tupate uhuru mwaka 1961 December laki leo tumefikia kilometa 800.

Maajabu ni haya Kwa kipindi kifupi Cha miaka minne Cha Rais wa awamu ya sita Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan yeye amesafirisha Umeme kwenye zaidi ya kilometer 2,000 ambazo ni sawa na 33.333% ya kilichofanyika awamu zote tano zilizomtangulia,

Hakika Mama huyu anastahili pongezi kweli kweli,

===

Msikilize kwa umakini kwa faida yako kwa ufahamu wa mambo mengi zaidi.

,
 
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema,

Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometer 6,000 tangu tupate uhuru mwaka 1961 December

Maajabu ni haya Kwa kipindi kifupi Cha miaka minne Cha Rais wa awamu ya sita Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan yeye amesafirisha Umeme kwenye zaidi ya kilometer 2,000 ambazo ni sawa na 33.333% ya kilichofanyika awamu zote tano zilizomtangulia,

Hakika Mama huyu anastahili pongezi kweli kweli,

Msikilize Kwa umakini Kwa ufahamu wa mambo mengi zaidi.

,
Hawa viumbe wana tuona mambululazi sana
 
Kwahiyo hiyo ni PPP???
 
Naona kazi imeanza rasmi CCM ni dude hatari sana unapokaribia uchaguzi wowote
Miaka 48 madarakani, uzoefu wa kutosha kwenye masuala ya kampeni.

Ile no reform no election imesimama kidogo kwa sababu ya suala zima la Mheshimiwa Gwajima na sinema anayoicheza muda huu.
 
Back
Top Bottom