Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Kazi za huyu mama zinajiuza zenyewe ila huyu Kafulila sio RaiaBandari???
Upuuzi mtupu
Kazi ya awamu ya nne ni 0 na ole wake wangetangulizana na JK
Hawa viumbe wana tuona mambululazi sana==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema,
Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometer 6,000 tangu tupate uhuru mwaka 1961 December
Maajabu ni haya Kwa kipindi kifupi Cha miaka minne Cha Rais wa awamu ya sita Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan yeye amesafirisha Umeme kwenye zaidi ya kilometer 2,000 ambazo ni sawa na 33.333% ya kilichofanyika awamu zote tano zilizomtangulia,
Hakika Mama huyu anastahili pongezi kweli kweli,
Msikilize Kwa umakini Kwa ufahamu wa mambo mengi zaidi.
,
Miaka 60 kweli? Ndio uje useme ni dude kubwa kwa kupambana na changamoto zile zile miaka nenda rudi?Naona kazi imeanza rasmi CCM ni dude hatari sana unapokaribia uchaguzi wowote
Wazo zuri sana hiliKuwaziba midomo watu unatoa na mifano ya hizo njia mpya za umeme zilizojengwa ili watu wasifikiri ni maneno tu.
Ndio maana anapongezwa Rais Samia Kwa kazi hizo kubwaMiaka 60 kweli? Ndio uje useme ni dude kubwa kwa kupambana na changamoto zile zile miaka nenda rudi?
Safi sana samia yupo juu kiakili na huyu atatufikisha ccm walituchelewesha sanaNdio maana anapongezwa Rais Samia Kwa kazi hizo kubwa
Kwa kweli Kafulila ni Mwongo aisee....Mwambie Aache uongo ,Samia au Serikali kwa mikopo .Raisi atakayelipa hii mikopo ndio kajenga na sio aliyekopa
Lakini jamaa sio muhaSafi sana samia yupo juu kiakili na huyu atatufikisha ccm walituchelewesha sana
Kaongopa wapi?Kwa kweli Kafulila ni Mwongo aisee....
Kwahiyo hiyo ni PPP???==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema,
Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometer 6,000 tangu tupate uhuru mwaka 1961 December
Maajabu ni haya Kwa kipindi kifupi Cha miaka minne Cha Rais wa awamu ya sita Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan yeye amesafirisha Umeme kwenye zaidi ya kilometer 2,000 ambazo ni sawa na 33.333% ya kilichofanyika awamu zote tano zilizomtangulia,
Hakika Mama huyu anastahili pongezi kweli kweli,
Msikilize Kwa umakini Kwa ufahamu wa mambo mengi zaidi.
,
Muha ni kitu gani?Lakini jamaa sio muha
Takwimu alizotoa si sahihi....Kaongopa wapi?
Miaka 48 madarakani, uzoefu wa kutosha kwenye masuala ya kampeni.Naona kazi imeanza rasmi CCM ni dude hatari sana unapokaribia uchaguzi wowote