PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huu uchawa unawafanya akina Kafulila waonekana wapuuzi sana.
Huyu Bwana anajitahidi sana kuwa PM

1. Tukipata Uhuru population ilikuwa milioni 9, tulihitaji umeme wa leo kwa kazi gani

2. Tukipata Uhuru kulikuwa na mahitaji mengine muhimu, kusomesha watu, kujenga taasisi n.k. ikiwemo kujenga mabwawa ya umeme , Hospitali, miundo mbinu kama Reli n.k.

Changamoto alizokutana nazo Nyerere hakuna aliyefuata anayeweza kujilinganisha naye

Nionyesheni Bwawa la umeme alilojenga Samia, njia ya umeme mpya aliyojenga n.k.

Kafulila anautafuta sana Uwaziri mkuu, amegeuka msemaji wa serikali na sasa anazungumza hovyo bila kufikiri. Kumdharau Nyerere ni kujidhalilisha! Kafulila please shut up

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Mama yetu congratulations, bila network ya kusafirisha umeme ni kazi bure.
Hao wapuuzi wahamie Kwa Martha Karua Kenya ndio watajua ugumu wa maisha.
 
Kinachosababisha mgao wa umeme ni nini?
Watanzania wanashinda tangu asubuhi bila ya umeme, leo unatuletea data ambazo mwananchi wa kawaida hawezi kukuelewa,
Watu wanataka umeme hizi porojo zingine utuambie baada ya uchaguzi
 
Kinachosababisha mgao wa umeme ni nini?
Watanzania wanashinda tangu asubuhi bila ya umeme, leo unatuletea data ambazo mwananchi wa kawaida hawezi kukuelewa,
Watu wanataka umeme hizi porojo zingine utuambie baada ya uchaguzi
Kuna mgao wapi huko mkuu wangu?
 
Nani amesema Kafulila anatafuta U-PM?
 
Haya yote huwezi sikia wakiongelea ila upumbavu wa dini zao,uzushi na nonsense zingine.

Samia atalindwa Kwa wivu mkubwa Kwa maslahi ya Nchi,wapiga kelele watapig sana na wakivuka red line watiwe adabu.

Mwisho Sio tuu kwenye usambazaji umeme Bali Kila sekta .
 
Samia anaangushwa na watu wake aliowaamini wengi hawamsaidii
 
Samia anaangushwa na watu wake aliowaamini wengi hawamsaidii
Hawamsaidii kufanya nini? Aliyoyafanya nani kamsaidia?

Hao unaoita watu wake ni Wanasiasa wa Bara ambao wanataka madaraka na Kwa vyovyovyote vile wata capitalize hayo niliyoeleza hapo Juu Kwa kuzingatia jamii tuliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…