PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hongera Kwa Mama Rais
 
Hawamsaidii kufanya nini? Aliyoyafanya nani kamsaidia?

Hao unaoita watu wake ni Wanasiasa wa Bara ambao wanataka madaraka na Kwa vyovyovyote vile wata capitalize hayo niliyoeleza hapo Juu Kwa kuzingatia jamii tuliyonayo.
Nimekuelewa sana ila kwanini hawadhibitiwi?
 
Naona Machawa mnajifariji
 
SAMIA MITANO TENA
 
Samia is unstoppable wengine jipangeni kwa 2030
 

Ila huyu 2mbili anajituma sana
 
Ajabu enzi hizo ambazo tulikuwa duni kuliko sasa tuliweza kupikia Umeme, i.e. ulikuwa nafuu....

Ajabu zaidi na huu umeme tulionao sasa Madalali wanajitahidi kutafuta so called wawekezaji ili wapige pesa (ADAN et al) kwa kisingizio eti wasaidiwe kusambaza

Ajabu zaidi pamoja na huu umeme na so called kazi nzuri waliyofanya bado wanafanya udalali wa kuhamasisha gesi ya ughaibuni katika mapishi

 
Akili wewe unayo
 
Halafu wewe Kafulila acha kutujazia thread!😖
 
Tumbili katika ubora wake,akizungumzia vitu ambavyo havipo,Tumbili ni Tumbili tu wala hawakukosea kumwita hivyo.
 
Kwani hyu jamaa anataka cheo Gani? Maana kilasiku kafulila kila siku ni habali za kafulila TU !!! Mm nimeshachoka kabisa na habari za kafulila yaani porojo porojo TU .si aweke wazi TU anataka usemaji waselikari au uwaziri mkuu TU!!!
 
Mama kula Mitano tena
 
Nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…