Komaa kamandaNo reforms no election
Mkuu pesa tamu na Kafulila anazidi kunenepa na kutoka kitambi ana kula kwa kamba ndefuKazi za huyu mama zinajiuza zenyewe ila huyu Kafulila sio Raia
Huu uchawa unawafanya akina Kafulila waonekana wapuuzi sana.
Huyu Bwana anajitahidi sana kuwa PM
1. Tukipata Uhuru population ilikuwa milioni 9, tulihitaji umeme wa leo kwa kazi gani
2. Tukipata Uhuru kulikuwa na mahitaji mengine muhimu, kusomesha watu, kujenga taasisi n.k. ikiwemo kujenga mabwawa ya umeme , Hospitali, miundo mbinu kama Reli n.k.
Changamoto alizokutana nazo Nyerere hakuna aliyefuata anayeweza kujilinganisha naye
Nionyesheni Bwawa la umeme alilojenga Samia, njia ya umeme mpya aliyojenga n.k.
Kafulila anautafuta sana Uwaziri mkuu, amegeuka msemaji wa serikali na sasa anazungumza hovyo bila kufikiri. Kumdharau Nyerere ni kujidhalilisha! Kafulila please shut up
JokaKuu Pascal Mayalla
But Kafulila ni Mtu mwadilifu sana katika Taifa ndio maana hakuna anayeweza kumnyooshea kidoleMkuu pesa tamu na Kafulila anazidi kunenepa na kutoka kitambi ana kula kwa kamba ndefu
Ila hakunaga mkate mgumu kwenye majiBut Kafulila ni Mtu mwadilifu sana katika Taifa ndio maana hakuna anayeweza kumnyooshea kidole
Ni rahisi.Wakuu, Kuna namna naweza block/ignore habari za kafurira humu Jf? Yani nisiwe naziona kabisa
Ngoja tuone basi kama ni kweliMavi hayajawahi Kumpendeza mtu.
Huyu anafaa kuwa PM sijui kama mtanielewa Kwa haraka==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema,
Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometa 6,000 tangu tupate uhuru mwaka 1961 December laki leo tumefikia kilometa 800.
Maajabu ni haya Kwa kipindi kifupi Cha miaka minne Cha Rais wa awamu ya sita Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan yeye amesafirisha Umeme kwenye zaidi ya kilometer 2,000 ambazo ni sawa na 33.333% ya kilichofanyika awamu zote tano zilizomtangulia,
Hakika Mama huyu anastahili pongezi kweli kweli,
===
Msikilize kwa umakini kwa faida yako kwa ufahamu wa mambo mengi zaidi.
,
Mbona hajasema kuwa wakati Samia hanashika madaraka alikuta umeme unaunganishwa kwa elfu 27,000/ Samia kushika madaraka tu hikawa 325,000/ bila kujali uwezo wa mtu.Kafurila kweli ni tumbili hizo njia zimejengwa angani?juzi tulisikia hakiwaambia watu wa Arusha kuwa wanapaswa kupata umeme wa nchi jirani kisa wakwetu miundombinu ya kuupeleka Arusha ni mibovu, Sasahivi huyu mpuuzi hanatuaminisha kuwa Samia kajenga miundombinu ya ya umeme.==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema,
Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometa 6,000 tangu tupate uhuru mwaka 1961 December laki leo tumefikia kilometa 800.
Maajabu ni haya Kwa kipindi kifupi Cha miaka minne Cha Rais wa awamu ya sita Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan yeye amesafirisha Umeme kwenye zaidi ya kilometer 2,000 ambazo ni sawa na 33.333% ya kilichofanyika awamu zote tano zilizomtangulia,
Hakika Mama huyu anastahili pongezi kweli kweli,
===
Msikilize kwa umakini kwa faida yako kwa ufahamu wa mambo mengi zaidi.
,
Bado ni hivyo huko vijijiniMbona hajasema kuwa wakati Samia hanashika madaraka alikuta umeme unaunganishwa kwa elfu 27,000/ Samia kushika madaraka tu hikawa 325,000/ bila kujali uwezo wa mtu.Kafurila kweli ni tumbili hizo njia zimejengwa angani?juzi tulisikia hakiwaambia watu wa Arusha kuwa wanapaswa kupata umeme wa nchi jirani kisa wakwetu miundombinu ya kuupeleka Arusha ni mibovu, Sasahivi huyu mpuuzi hanatuaminisha kuwa Samia kajenga miundombinu ya ya umeme.
Magufuli hakubagua mjini au vijijini wote ilikuwa 27,000/Sasahivi hata vijijini kuupata ni shida.Bado ni hivyo huko vijijini
Kampeni menejaNaona kazi imeanza rasmi CCM ni dude hatari sana unapokaribia uchaguzi wowote
Wengi wao wa hao ni vijana wa UVCCMNi rahisi.
Angalia ID zinazonzisha thread zake huwa ni zile zile za machawa wake na yeye mwenyewe akiwemo.
Pia angalia ID zinazokuja kucomment kwenye thread zake zote utaziona zinajirudia kila uzi hivyo huwezi kupata shida kuzijua.
Asisahau pia amekopa zaidi ya asilimia 60 ya deni la Taifa tangia uhuruHuu uchawa unawafanya akina Kafulila waonekana wapuuzi sana.
Huyu Bwana anajitahidi sana kuwa PM
1. Tukipata Uhuru population ilikuwa milioni 9, tulihitaji umeme wa leo kwa kazi gani
2. Tukipata Uhuru kulikuwa na mahitaji mengine muhimu, kusomesha watu, kujenga taasisi n.k. ikiwemo kujenga mabwawa ya umeme , Hospitali, miundo mbinu kama Reli n.k.
Changamoto alizokutana nazo Nyerere hakuna aliyefuata anayeweza kujilinganisha naye
Nionyesheni Bwawa la umeme alilojenga Samia, njia ya umeme mpya aliyojenga n.k.
Kafulila anautafuta sana Uwaziri mkuu, amegeuka msemaji wa serikali na sasa anazungumza hovyo bila kufikiri. Kumdharau Nyerere ni kujidhalilisha! Kafulila please shut up
JokaKuu Pascal Mayalla
Kazi bado kuanzaNaona kazi imeanza rasmi CCM ni dude hatari sana unapokaribia uchaguzi wowote