PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Infact projects nyingi za Umeme zimekuwa Initiated na JPM, Mama nyingi amezikuta ata izi anazoendeleza kwa sasa zilishakuwa started na JPM
 
Kiazi hana kazi ingine ye ni kumwaga misifa tu kwa mlengwa.
 
SASA Kafulila tangu ameingia PPP iliyoanza tangu wakati wa JK mwaka 2009, lakn mabadiliko na mjadala wa PPP nikama vile imeanza na Kafulila. Mwamko wa Umma, Serikali na Sekta Binafsi sasa ni PPP ndio habari nzima.

Hongera zake
 
Fact
 
Mimi Kafulila nakumbuka akiwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mkoa ambao zaidi ya asilimia 60% ya pamba inazalishwa huko, mbali na kusimamia uwajibikaji watendaji wa serikali alianzisha mfumo wa ununuzi wa pamba maarufu kama Simiyu cotton model ambao ulidhibiti wizi wa ushirika kwa kuwaondolea monopoly ktk ununuzi wa pamba na kufanya ununuzi kuwa huria kwa mkulima kuuzia ama ushirika au wanunuzi binafsi, uamuzi uliosababisha bei ya pamba kufikia 2000/= kwa kilo, bei ambayo haikuwahi kufikiwa ktk historia ya pamba ...
 
Kafulila ni jembe tangu kitambo sana
 
😍😍
 
Mgodi unaotembea
 
Mzee chawa promax Kafulila David naona unatekeleza majukumu yako baba mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…