Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Eeh tushamchoka anajikuta anaishi Ulaya sijui , wakati hali halisi mtaani inajulikanaAnatafuta teuzi uyo anacheza na akili ya maza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh tushamchoka anajikuta anaishi Ulaya sijui , wakati hali halisi mtaani inajulikanaAnatafuta teuzi uyo anacheza na akili ya maza
Kafulila anawalaza na viatu , Lete hoja achana na mambo ya ndoa hayakusaidii chocolateKafulila unaongelea sana mambo ya wanawake mbona ndoa tu ilikushinda?
Kwani ni takwimu za uongo?Kwa sasa anadeal na takwimu zinazohusu wanawake tuu, na ni zile za kuwabeba tu, mpaka mama anatoka ikulu hautosikia takwimu mbaya kwa wanawake.CHAWA KAZINI.
Kafulila anawasumbua sana watu kama weweEeh tushamchoka anajikuta anaishi Ulaya sijui , wakati hali halisi mtaani inajulikana
Kwani Kuna ubaya gani uteuzi?Anatafuta teuzi uyo anacheza na akili ya maza
Wewe kwani umeolewa?Kama sio Kafulila basi pigachini ila mwambie boss wako hana moral audacity wa kuwazungumzia wanawake Kwakuwa ndoa moja tu imemshinda
Mkuu Kafulila ni mtu wa Dunia nyingine
😂😂 Hii yako ni roho mbayaKwani asiyeweza kuja na research uchwara
Kampeni za nini?Jamaa anakuja na tafiti za uchawa kampeni za chinichini
Yes hii ni sahihiKwa Tanzania wanawake wanaongoza kwa umaskini. Kama kila mwanamke akijitambua akizingatia elimu, kufanya kazi za kiuchumi, kuepuka mimba za utotoni hilo linawezekana
Kwahy kila mtu atangaze tafiti zake kwasabab ni nzuri kw utawala bila uhalisia wa jamii lengwa😂😂 Hii yako ni roho mbaya
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZAView attachment 3264382
Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa.
Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa huenda Uchumi wa Dunia ukakua kwa 30% sawa na US$28 Trilioni.
Mkurugenzi Mtendaji huyo wa kituo cha Ubia nchini PPPC amerejelea utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kitafiti ya McKinsey Global Institute iliyomtambua mwanamke kama turufu muhimu katika Ujenzi wa Uchumi Mkubwa wa Dunia.
Utafiti huu unapewa nguvu na uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan namna ambavyo kwa miaka minne tu Uchumi wa Tanzània umekuwa kwa record ambazo hatujawahi kuziona Wala kuzisikia tangu Uhuru wa Taifa hili.
View attachment 3264367
==
Unamaanisha sio kweli kwamba wanawake wakishirikishwa Uchumi wa Dunia utakua?Kwahy kila mtu atangaze tafiti zake kwasabab ni nzuri kw utawala bila uhalisia wa jamii lengwa
Ndoa achana nayo kabisaKAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
KAFULILA SHUGHULIKIA NDOA YAKO KWANZA
Mfumo wa kibepari ambao ndoa nitakufa ,watu watakuwa wanazaa tu watoto.Kwa Tanzania wanawake wanaongoza kwa umaskini. Kama kila mwanamke akijitambua akizingatia elimu, kufanya kazi za kiuchumi, kuepuka mimba za utotoni hilo linawezekana