ecolizer baba
Member
- Sep 29, 2010
- 88
- 310
Aisee wametoa sababu yoyote au wanajiadaa kua majani wakifika Canaan.
Kenyata aliwaita majaji kuwa ni wahuni na ni wakora kwa kauli hizo majaji kuonesha hisia zao wamefanya hayo yakususia ufunguzi wa Bunge hiyo ndio Kenya iliyotuacha mile makumi elfu kwa demokrasia ss juzi kati mawakili walipopewa wito wa kugoma kwa siku mbili jaji mkuu alipiga mkwala....!
Mkuu pamoja na hilo kamwe hawakupaswa kususia. Kumbuka kuwa uzinduzi wa bunge haukuwa kama mkutano wa jubilee bali it was a national ceremony that needed all the three arms of the government to attend. Hivyo walipaswa kuhudhuria bila kujali matamshi yaliyokwisha kutolewa dhidi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ook sasa ule umbea na picha nyingi nyingi za Maraga akiwa na Nasa team si wanasiasa watazitumia kuaminisha umma Majaji na Nasa lao moja...hii haijakaa poa kabisaH
Hapana Mkuu. Inasemekana kuwa haakuhudhuria kwenye huo uzinduzi wa bunge ambapo Rais Uhuru Kenyatta alihutubia. In short waneungana na NASA kususia.
Ndio hapo sasa. Sio move nzuri kwa Maraga na wenzake.Ook sasa ule umbea na picha nyingi nyingi za Maraga akiwa na Nasa team si wanasiasa watazitumia kuaminisha umma Majaji na Nasa lao moja...hii haijakaa poa kabisa
Hapana hao wako na right kususia kivyao. Si kweli kwamba wameungana na NASA. NASA walikua na sababu tofauti ya kususia. Huku Kenya hata Ukitaka kumtusi president unaeza si kama huko T.ZH
Hapana Mkuu. Inasemekana kuwa haakuhudhuria kwenye huo uzinduzi wa bunge ambapo Rais Uhuru Kenyatta alihutubia. In short waneungana na NASA kususia.
....Yaani uniite mkora in public halafu utegemee nije ukihutubia?H
Hapana Mkuu. Inasemekana kuwa haakuhudhuria kwenye huo uzinduzi wa bunge ambapo Rais Uhuru Kenyatta alihutubia. In short waneungana na NASA kususia.
hii move Jubilee wataitumia kuombea kura na aidha Maraga ni Nasa sleeper principal au hapana ameshdwa kulijua hili lakini kwa vile sio katiba mbali ni mazoea ya wao majaji kuhudhuria ufunguzi wa mbunge basi tena wasubiri wakenya waamue ni Canaan au ni UhurutoNdio hapo sasa. Sio move nzuri kwa Maraga na wenzake.
It has never happened for the supreme court judges to miss Parliament openings... This will not sit well with many Kenyans.the jubilee narrative that they are partisans will start gaining grounds..it's never a good sign when two arms of government start having wranglesHapana hao wako na right kususia kivyao. Si kweli kwamba wameungana na NASA. NASA walikua na sababu tofauti ya kususia. Huku Kenya hata Ukitaka kumtusi president unaeza si kama huko T.Z
I agree. Between Maraga and Uhuru Maraga is the mature one. Maraga avumilie tu matusi juu Uhuru bado ako na shock ya kuloose petion na ako na ego kubwa. One of the two must come down and it must be the C.JIt has never happened for the supreme court judges to miss Parliament openings... This will not sit well with many Kenyans.the jubilee narrative that they are partisans will start gaining grounds..it's never a good sign when two arms of government start having wrangles
It has never happened for the supreme court judges to miss Parliament openings... This will not sit well with many Kenyans.the jubilee narrative that they are partisans will start gaining grounds..it's never a good sign when two arms of government start having wrangles
hii move Jubilee wataitumia kuombea kura na aidha Maraga ni Nasa sleeper principal au hapana ameshdwa kulijua hili lakini kwa vile sio katiba mbali ni mazoea ya wao majaji kuhudhuria ufunguzi wa mbunge basi tena wasubiri wakenya waamue ni Canaan au ni Uhuruto
Ukabila utawamaliza