gmail mkulima
Senior Member
- Jun 11, 2017
- 186
- 114
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo bunge la kumi na mbili Rais nl awamu ya kumi na moja ipo shida.
Uzinduzi wa bunge ni hafla ya kitaifa iliyoratibiwa kikatiba, nchi hii bado tuna rais maana hajapokeza mamlaka kikatiba na yupo ndani ya muda unaokubalika kikatiba, sasa kwa hao majaji kususia hafla kisa wana tofauti zao za kibinafsi na rais wa sasa naona kama hatari sana kwa taifa.
Mihimili ikianza kususiana na kurushiana vijembe kihivi naona tutaishia pabaya.
Kama Taasisi Wana haki ya kuonyesha disapproval towards Uhuruto misbehavingUzinduzi wa bunge ni hafla ya kitaifa iliyoratibiwa kikatiba, nchi hii bado tuna rais maana hajapokeza mamlaka kikatiba na yupo ndani ya muda unaokubalika kikatiba, sasa kwa hao majaji kususia hafla kisa wana tofauti zao za kibinafsi na rais wa sasa naona kama hatari sana kwa taifa.
Mihimili ikianza kususiana na kurushiana vijembe kihivi naona tutaishia pabaya.
Nao majaji wasem aje ati uchaguzi haukufuata katiba ilhali nao wanasusia uzinduzi bunge uliopo kikatiba?....Yaani uniite mkora in public halafu utegemee nije ukihutubia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguz ukisharudiwa,rais akipatikana wataenda,kwani Kenyatta ameenda hapo kama nani?Rais ambaye amechaguliwa juzi au siku za nyuma?Nianze kwa kuwasalimu.
Kama kweli Jaji Mkuu David Maraga na Majaji wengine wa Mahakama ya juu wamesusia uzinduzi wa Bunge la 12, then ni makosa sana. Wamesusia kama ambavyo Wapinzani wa NASA walivyosusia.
Hii itapelekea zile tetesi kuwa Majaji hawa walikuwa njama na NASA ili kutengua matokeo ya urais uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta. Na hii inaweza wafanya watu waliodharau tuhuma hizo kuchukulia kuwa ni kweli.
Maraga pls don't do this again. Nyie hampaswi kuwa na upande kwenye mambo ya siasa.
Kama Taasisi Wana haki ya kuonyesha disapproval towards Uhuruto misbehaving
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo weweHapana hao wako na right kususia kivyao. Si kweli kwamba wameungana na NASA. NASA walikua na sababu tofauti ya kususia. Huku Kenya hata Ukitaka kumtusi president unaeza si kama huko T.Z
Ur Judiciary needs to stay neutral till at least after a repeat of ur Presidental election n most important having received over 60 petitions from MPs Governors n Senators that have just won. His presence would have been their approval. My friend that CJ is very smart n works on principles. Pretty sure Jubilee representatives would have booed him.Sio kwa kususia hafla ya mhimili wa bunge ambayo ipo kikatiba, ifahamike huo ni uzinduzi wa bunge na kwamba rais hapo amekwenda kutimiza wajibu wake. Hivyo rais na majaji wanakua kama waalikwa tu, hao majaji wa mahakama kuu wamejiingiza kwenye siasa, wamenasa kwenye mtego wa Uhuruto wa kutupiana matope ya kisiasa.
Sasa propaganda ndio zitaenea kote nchini na wafuasi wao ndio watapata mzuka hata zaidi wa kujiandaa kwenye mechi ya marudiano.
Katiba yao inasema nini kwenye kipindi cha mpito?Hilo bunge la kumi na mbili Rais nl awamu ya kumi na moja ipo shida.
What Maraga did is constutional safeguarded. In the US too federal Judges can choose to skip attending such an event if they r in a situation that their decisions at the bar might be compromised by or compromise the interests of a perceived rogue executive regime. Mind u Judiciary safeguards constitution n what Maraga n his team did is within that role.Very dangerous for neutral Judges to be seen having reactionary activism regardless of the criticism they got from Uhuru..I've seen US judges get attacked by politicians but they keep mum to maintain their neutrality,professionalism and dignity.How in the world do these Kenyan judges boycott a constitutional function yet they ruled that the election didn't follow the constitution?
Nianze kwa kuwasalimu.
Kama kweli Jaji Mkuu David Maraga na Majaji wengine wa Mahakama ya juu wamesusia uzinduzi wa Bunge la 12, then ni makosa sana. Wamesusia kama ambavyo Wapinzani wa NASA walivyosusia.
Hii itapelekea zile tetesi kuwa Majaji hawa walikuwa njama na NASA ili kutengua matokeo ya urais uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta. Na hii inaweza wafanya watu waliodharau tuhuma hizo kuchukulia kuwa ni kweli.
Maraga pls don't do this again. Nyie hampaswi kuwa na upande kwenye mambo ya siasa.
An Excellent answer suala hapa ni legitimacy of an incumbent that supposed to be called an Acting President..Ni bora uelewe kwa nini hawa hawakuudhulia kikao leo. kwa mujibu wa katiba mpya rais wa kenya kwa sasa anayo mamlaka ya temporal incumbency ambayo ni mamlaka finyu(soma katiba vipengele andamizi) lakini jubilee wanalazimisha ni rais kamili. Pili mbunge la kumi na mbili linapaswa kufunguliwa na rais wa awamu ya nne muhura wa pili kenya au rais mpya wa tano Kenya. Rais Uhuru ni rais wa muda hadi uchaguguzi ufanyike upya. kwa hovyo supreme court kasema elections were null and void, hawawezi tena kufika kwa ufunguzi ambao wametegua. itakua kinyume na uamuzi wao mahakamani juzi!!
usiangalie upande mmoja tu,vipi kuhusu usalama wao,heshima yao bungeni and so forth ?!Nianze kwa kuwasalimu.
Kama kweli Jaji Mkuu David Maraga na Majaji wengine wa Mahakama ya juu wamesusia uzinduzi wa Bunge la 12, then ni makosa sana. Wamesusia kama ambavyo Wapinzani wa NASA walivyosusia.
Hii itapelekea zile tetesi kuwa Majaji hawa walikuwa njama na NASA ili kutengua matokeo ya urais uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta. Na hii inaweza wafanya watu waliodharau tuhuma hizo kuchukulia kuwa ni kweli.
Maraga pls don't do this again. Nyie hampaswi kuwa na upande kwenye mambo ya siasa.
Kenyata aliwaita majaji kuwa ni wahuni na ni wakora kwa kauli hizo majaji kuonesha hisia zao wamefanya hayo yakususia ufunguzi wa Bunge hiyo ndio Kenya iliyotuacha mile makumi elfu kwa demokrasia ss juzi kati mawakili walipopewa wito wa kugoma kwa siku mbili jaji mkuu alipiga mkwala....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga hiyo kitu kama Acting president kwenye katiba ya Kenya na hakunaga vacuum kwenye presidency hata akifa, anapoapishwa mpya ndio huyu anaachaAn Excellent answer suala hapa ni legitimacy of an incumbent that supposed to be called an Acting President..
Sent using Jamii Forums mobile app
Technically he is as he can't appoint or do big decisions right now. He is constitutional incapacitated! Boaay, read ur constitution...Hakunaga hiyo kitu kama Acting president kwenye katiba ya Kenya na hakunaga vacuum kwenye presidency hata akifa, anapoapishwa mpya ndio huyu anaacha
Sent using Jamii Forums mobile app