David Maraga na majaji wa mahakama ya juu wamekosea kususia uzinduzi wa bunge

David Maraga na majaji wa mahakama ya juu wamekosea kususia uzinduzi wa bunge

Technically he is as he can't appoint or do big decisions right now. He is constitutional incapacitated! Boaay, read ur constitution...

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Hivi kazi ya Rais unayoijua wewe ni ku appoint tu jirani yetu Magufuli kawaharibu pia nyie maana ndio kazi yake inayojulikana kuteua na wewe unadhani kazi ya Rais ni kuteua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It will be a stupidity of highest order for anyone to argue the day to day functions of a government are not limited. Only a man of Mumbi in his tribal cancuun will refute that.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Suala la mtu kumtusi rais na asifanyiwe chochote ni utashi binafsi, wala katiba ya kenya haisemi eti mtu anao uhuru wa kumtukana rais!

Na kwa kuzingatia hilo, Uhuru huyu huyu ambaye amekuwa anapiguwa chapuo humu yamemshinda na kujikuta anawalopokea majaji
CC Tony254
 
Sio kwa kususia hafla ya mhimili wa bunge ambayo ipo kikatiba, ifahamike huo ni uzinduzi wa bunge na kwamba rais hapo amekwenda kutimiza wajibu wake. Hivyo rais na majaji wanakua kama waalikwa tu, hao majaji wa mahakama kuu wamejiingiza kwenye siasa, wamenasa kwenye mtego wa Uhuruto wa kutupiana matope ya kisiasa.
Sasa propaganda ndio zitaenea kote nchini na wafuasi wao ndio watapata mzuka hata zaidi wa kujiandaa kwenye mechi ya marudiano.
Ni kweli hapo majaji wamejikuta wamenasa kwenye nyavu bila wao kujua! Hata kama hawakupewa mwaliko kama wanavyodai lakini hakuna mtu elewa kuwa hawakualikwa badala yake taswira itakayojengeka ni kuwa walisusia!
 
80de39a1ae4ac2f46e535fcc35b0c960.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nao ni binadamu kama alivo mtu mwingine yeyote walioshindwa kec wamesikika hadharani wakitoa vitisho kwa uamuzi waliofanya kisheria tena akiwemo rais aliyeko madarakani je yeye anahaki ya kuwakashifu au kuwatishia mbona hilo mmelinyamazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umeleta kipengee cha katiba kinachoweka wazi hili suala. Naomba wadau wajadili kitaalamu sio kwa mihemko.
Katiba inasema hatamu ya rais inaisha pale atakapochaguliwa mwengine. Sasa bado hamna aliyechaguliwa kufikia hapo, nchi lazima iendeshwe, kuna majukumu mengi ya rais ya kila siku lazima yatimizwe vinginevyo tunaingia kwenye kiza.
 
House of Mumbi arguments zinajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Geza there's nothing you know about the Kenyan constitution..Uhuru is still the president till when he will hand over instrument of powers to the next president..... And furthermore why are people reasoning with their feets instead of head, how will iebc get funds to run another election without the Parliament???

Then u don't know ur constitution the Parliament for this case is overpassed by court decision as one could tell how Jubilee MPs would have behaved if were to pass the IEBC budget.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya Kenya inasemaje kuhusu Jaji Mkuu au majaji kuhudhuria uzinduzi wa Bunge? Je ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa sharia au iko silent na hivyo majaji wana option ya kuhudhuria au la? Halafu sidhani kuwa wanasiasa wana uhuru wa kuropoka na hata kuwatukana watu wa mihimili mingine kwa kisingizio kuwa ni siasa na utamaduni huo haifai kuendelezwa.
 
Majaji na wanasiasa hawaendani, nakumbuka juzi hata rais wenu Magufuli amelisema hilo, kwamba majaji hata wakistaafu huwa hawaongei ongei na hawafai kuonekana kuegemea kwenye upande wowote.
 
Katiba ya Kenya inasemaje kuhusu Jaji Mkuu au majaji kuhudhuria uzinduzi wa Bunge? Je ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa sharia au iko silent na hivyo majaji wana option ya kuhudhuria au la? Halafu sidhani kuwa wanasiasa wana uhuru wa kuropoka na hata kuwatukana watu wa mihimili mingine kwa kisingizio kuwa ni siasa na utamaduni huo haifai kuendelezwa.
Katiba iko silent kwa hivyo si lazima majaji kuattend. Lakini hata hivyo washika dau hapa wanasema si vizuri majaji kususia unless ni kweli kwamba hawakuwa invited
 
Muda wa Uhuru madarakani unahesabika.

Raila ndiye raisi ndivyo itakavyokua.

Hizo ngurumo ni dalili tu za mvua inayokuja.

oh yeah it is real . it is damn real!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom