David Maraga na majaji wa mahakama ya juu wamekosea kususia uzinduzi wa bunge

David Maraga na majaji wa mahakama ya juu wamekosea kususia uzinduzi wa bunge

Uchaguz ukisharudiwa,rais akipatikana wataenda,kwani Kenyatta ameenda hapo kama nani?Rais ambaye amechaguliwa juzi au siku za nyuma?

May Allah bless Me and You
.
Yaani unamaanisha bunge litazinduliwa kwa mara ya pili?
Hao majaji inaonekana wanaitumikia katiba bila kuielewa.
Labda tuambiwe katiba inaweka wazi kwamba kutakua na ufunguzi wa pili bada ya huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba iko silent kwa hivyo si lazima majaji kuattend. Lakini hata hivyo washika dau hapa wanasema si vizuri majaji kususia unless ni kweli kwamba hawakuwa invited
Hii dhana kuwa wamesusia ni maoni tu ya watu. Tuseme tu kuwa hawajahudhuria na inawezekana walikuwa na majukumu mengine muhimu ya kimahakama.
 
Majaji na wanasiasa hawaendani, nakumbuka juzi hata rais wenu Magufuli amelisema hilo, kwamba majaji hata wakistaafu huwa hawaongei ongei na hawafai kuonekana kuegemea kwenye upande wowote.
Nakubaliana na wewe kuwa majaji na wanasiasa hawapikiki chungu kimoja. Wanasiasa ni wakora na hawana breki kwenye akili na midomo yao. Inawezekana majaji wenu wameamua kuanzisha utamaduni mpya wa kuepuka siasa za wabunge.
 
Wengi wa wale majaji yaani wanne kati saba walotoa maamuzi Yale yakutengua matokeo ya tume inahisiwa sasa leo imejidhihirisha ni wakereketwa kindakindaki wa upande wa NASA....no matumaini yangu Uhuru akichaguliwa kwa term hii anawafuta kazi mamlaka hiyo anayo kisheria...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka yote huwa wanapata official invitation. Mwaka huu hawakupata. Wamefanya vyema kutokwenda huo uninvited
 
The Supreme Court Judges were absolutely right to boycot the Inaugration. Uchaguzi wa Rais ulibatilishwa,na Kenyatta kiuhalisia alipaswa asubiri 17th October,ili awe halali. Suppose, If RAO wins,should He re'open the August House again?
 
The Supreme Court Judges were absolutely right to boycot the Inaugration. Uchaguzi wa Rais ulibatilishwa,na Kenyatta kiuhalisia alipaswa asubiri 17th October,ili awe halali. Suppose, If RAO wins,should He re'open the August House again?
Parliament proceedings have to continue.. There are lots of things to be discussed in Parliament including the iebc election budget
 
Ukabila utawamaliza

Wamezindisha ukabila(tribalism) kwa kuunda counties 47 ambazo ni sawa na namba ya makabila. Mfano counties za Busia, Bungoma, Vihiga, Kakamega zote ni Abaluhya. Counties za Kisumu, Migori, Siaya Homa Bay zote ni Luo. Counties za Narok, Kajiado zote ni Maasai, counties za Makueni, Kitui na Machakos ni Wakamba na kadhalika. Na aliyetetea yote haya ni kiongozi wa ODM(NASA). Wangaliunda zone nne au tano tu ili kuchanganya makabila mfano; Northen zone or Province ambayo ingejumuisha Wasomali, Turkana na Wakamba wachache. Western Province for Gusii, Luo, Luhya, Coast Province, Central Province and South West Province. Kwa hiyo mikoa mitano would have been fine.
 
Ukabila upi umeuona hapo, usitoe kauli ilmradi uonekane na wewe upo, shirikisha ubongo. Huu ni mkwaruzano baina ya mihimili.

Utazunguka mno ukabila haukwepeki africa huwa tunasimamia pale tunapopenda sio kwa maslah ya Taifa.
 
It has never happened for the supreme court judges to miss Parliament openings... This will not sit well with many Kenyans.the jubilee narrative that they are partisans will start gaining grounds..it's never a good sign when two arms of government start having wrangles
Do not lie to the public,Maraga was questioned for the reason ahead of missing the assembly,he responded that they were not invited to do so as usual.

So it is not their fault since Uhuru didn't invited them as Previously
 
Maraga ni muhuni na atashugulikiwa tu ngoja uchaguzi uishe
 
Utazunguka mno ukabila haukwepeki africa huwa tunasimamia pale tunapopenda sio kwa maslah ya Taifa.

Ukabila upo Kenya hilo nakiri lakini sio kila ugomvi unahusu ukabila.
 
Watanzania wakichangia issue zetu wanajifanya wanajua kinacho fanyika ....waah!! Wacha ni unsubscribe toka kwa hii yhread
 
Ook sasa ule umbea na picha nyingi nyingi za Maraga akiwa na Nasa team si wanasiasa watazitumia kuaminisha umma Majaji na Nasa lao moja...hii haijakaa poa kabisa
Kama kusoma hujui hata picha huoni??
Na unaukumbuka mkwara wa Maraga kwa Uhuru kabla ya uchaguzi?
Kazi ni kwako...pambana na hali yako
 
Kama kusoma hujui hata picha huoni??
Na unaukumbuka mkwara wa Maraga kwa Uhuru kabla ya uchaguzi?
Kazi ni kwako...pambana na hali yako
kivyovyote vile Uhuru alikumbali hukumu ya Maraga na pengine Nasa walitegemea Jubilee wangeigomea mahakama kuamsha dude kupinga hukumu ile...Nasa wao wauze sera sio malalamiko kila kukicha...Maraga ni majaji wachache wenye msimamo dhabiti aidha alifanya uamuzi ule kwa utashi wa sheria au anaegemea Nasa ni historia.
 
Huwezi kihudhuria bunge ambalo limehudhuliwa na Rais ambaye mumetengua kura zake
So wao kutoshiriki wameonesha kuwa Kenyatta sio Rais na wangehudhuria ingekuwa sawa na kujitekenya wenyewe huku wakitarajia kucheka
 
Do not lie to the public,Maraga was questioned for the reason ahead of missing the assembly,he responded that they were not invited to do so as usual.

So it is not their fault since Uhuru didn't invited them as Previously
Really????some things are obvious they don't have to be invited.... The constitution says clearly a place must be set for the supreme court judges and it was set
 
Najaribu kuwaza tu je Uhuru akishindwa kwenye uchaguzi wa marudio je Odinga naye atazindua bunge
 
Back
Top Bottom