.Uchaguz ukisharudiwa,rais akipatikana wataenda,kwani Kenyatta ameenda hapo kama nani?Rais ambaye amechaguliwa juzi au siku za nyuma?
May Allah bless Me and You
Hii dhana kuwa wamesusia ni maoni tu ya watu. Tuseme tu kuwa hawajahudhuria na inawezekana walikuwa na majukumu mengine muhimu ya kimahakama.Katiba iko silent kwa hivyo si lazima majaji kuattend. Lakini hata hivyo washika dau hapa wanasema si vizuri majaji kususia unless ni kweli kwamba hawakuwa invited
Nakubaliana na wewe kuwa majaji na wanasiasa hawapikiki chungu kimoja. Wanasiasa ni wakora na hawana breki kwenye akili na midomo yao. Inawezekana majaji wenu wameamua kuanzisha utamaduni mpya wa kuepuka siasa za wabunge.Majaji na wanasiasa hawaendani, nakumbuka juzi hata rais wenu Magufuli amelisema hilo, kwamba majaji hata wakistaafu huwa hawaongei ongei na hawafai kuonekana kuegemea kwenye upande wowote.
Parliament proceedings have to continue.. There are lots of things to be discussed in Parliament including the iebc election budgetThe Supreme Court Judges were absolutely right to boycot the Inaugration. Uchaguzi wa Rais ulibatilishwa,na Kenyatta kiuhalisia alipaswa asubiri 17th October,ili awe halali. Suppose, If RAO wins,should He re'open the August House again?
Ukabila utawamaliza
Ukabila upi umeuona hapo, usitoe kauli ilmradi uonekane na wewe upo, shirikisha ubongo. Huu ni mkwaruzano baina ya mihimili.
Do not lie to the public,Maraga was questioned for the reason ahead of missing the assembly,he responded that they were not invited to do so as usual.It has never happened for the supreme court judges to miss Parliament openings... This will not sit well with many Kenyans.the jubilee narrative that they are partisans will start gaining grounds..it's never a good sign when two arms of government start having wrangles
Utazunguka mno ukabila haukwepeki africa huwa tunasimamia pale tunapopenda sio kwa maslah ya Taifa.
Kama kusoma hujui hata picha huoni??Ook sasa ule umbea na picha nyingi nyingi za Maraga akiwa na Nasa team si wanasiasa watazitumia kuaminisha umma Majaji na Nasa lao moja...hii haijakaa poa kabisa
kivyovyote vile Uhuru alikumbali hukumu ya Maraga na pengine Nasa walitegemea Jubilee wangeigomea mahakama kuamsha dude kupinga hukumu ile...Nasa wao wauze sera sio malalamiko kila kukicha...Maraga ni majaji wachache wenye msimamo dhabiti aidha alifanya uamuzi ule kwa utashi wa sheria au anaegemea Nasa ni historia.Kama kusoma hujui hata picha huoni??
Na unaukumbuka mkwara wa Maraga kwa Uhuru kabla ya uchaguzi?
Kazi ni kwako...pambana na hali yako
Really????some things are obvious they don't have to be invited.... The constitution says clearly a place must be set for the supreme court judges and it was setDo not lie to the public,Maraga was questioned for the reason ahead of missing the assembly,he responded that they were not invited to do so as usual.
So it is not their fault since Uhuru didn't invited them as Previously