Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Labda tungewaomba China watusaidie kutoa hukumu!Bosi wa zamani wa ATCL David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
Ujumbe wakwapue tu hakuna shida wala hakuna kubugudhiwa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hii nchi raha sana.
Unaiba bilioni 100 unaadhibiwa kwa faini ya milioni 8 (yaani 8/100,000).
Watu wenye madaraka juu ya fedha za umma wanapata ujumbe gani kutokana na hukumu hii?
johnthebaptist kweli hili taifa ni Mungu tu anatupambania 🤣 🤣 🤣Bosi wa zamani wa ATCL David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
Enzi za Magu huyu angetemeshwa B za kutosha....Hasara biln 100
Fine mln 8
Duh
Ova
SIYO CHADEMA TENA?Mungu ibariki Tanzania ukipenda
Kuna mhasibu flan aliniambiaga yeye haibaki ivi tu milioni 200, au 300, yeye anaanzia milioni 500, kwani hakuna hakimu wa kukataa milioni 200.
Na keshafukuzwa makampuni mengi tu kwa wizi, na kesi anashinda.
Anakula watu ndogo?Kwa nini serikali isizile kuipokea hiyo fine ya huyo mfukua mitaro
Unataka apelekwe akafukue mitaro?Kwa nini serikali isizile kuipokea hiyo fine ya huyo mfukua mitaro
Eti mwigulu anasema tozo za miamala zimekwenda kujenga zahanati wakati lengo la hizi tozo ilikuwa ni kujenga barabara za vijijinidah tanzania yenu inavituko sana
Inawezekana kabisa Mtaka hana kosa lolote. Kusababisha hasara siyo kosa kisheria. Kama bodi ilipitisha bajeti naye akatekeleza bila ufisadi wala wizi, hasara ni matokeo ya wote upto the level ya juu kabisa ya waliokuwa wanapitisha maamuzi ya uwekezaji na uendeshaji.Undava muhimu sana kwenye utawala wa hizi nchi...huyu unaweza kuta kisheria hana makosa kabisa lakini ukweli ni kwamba katutia hasara kubwa tena kwa makusudi...