Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...kiko wapi hiko kituoMkwe wangu huyo. Yupo zake Sinza pale maeneo ya Mawela Bar.. Mtaa umepewa jina lake kutunuku kazi nzuri aliyoifanya (legacy). Kituo cha basi kinaitwa "Kwa Mwaibula".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...kiko wapi hiko kituoMkwe wangu huyo. Yupo zake Sinza pale maeneo ya Mawela Bar.. Mtaa umepewa jina lake kutunuku kazi nzuri aliyoifanya (legacy). Kituo cha basi kinaitwa "Kwa Mwaibula".
YUPO ila kwa TANZANIA ukimaliza Muda wako unatupwa jalalaniView attachment 1827401
Wadau,
Najua mtakuwa mnamkumbuka sana huyu "mheshimiwa" kwa style aliyokuja nayo ya kupiga ufito wa rangi tofauti tofauti kwa kila daladala za jijini ili iwe rahisi kwa abiria kutambua gari husika linapoishia kitu ambacho mikoa mingine ilikuja ikaiga. Pongezi zake!
Lakini ilikuaje akapoteza nafasi yake na kupewa mtu mwengine?
Na je, mchango wake haukuwa "effective" to the extend of being withdrawn?
Where his he right now?
====
UNAMFAHAMU ALIYEBUNI MISTARI YA DALADALA DAR ES SALAAM?
Mabasi ya usafiri wa abiria Jijini Dar es Salaam yametofautishwa kwa rangi kulingana na barabara yanazopipa mabasi hayo sambamba na maeneo yanakotoka.
Mfumo huu umekuwa msaada mkubwa kwa abiria kwa kuweza kuwarahisishia kufahamu kwa haraka barabara ambayo gari inapita hivyo kuondoa sintofahamu juu ya kule wanakoelekea.
Licha ya hilo, mfumo huu umelisaidia Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani kuweza kuwadhibiti madereva wanaoiba ama kukatisha ruti.
Kama msafiri ni mgeni na anataka kwenda Temeke au Tandika basi daladala zenye mstari wa kijani ndizo atakazopanda.
Kwa abiria anayeelekea Banana, Kitunda na Gongolamboto daladala zenye mstari wa rangi ya chungwa linaloiva ndiyo anazopaswa kupanda.
Halikadhalika yule wa kuelekea Mbagala, Temeke au Mbande kupitia Kilwa Road basi daladala zenye mstari wa rangi ya jani kavu ndizo atakazopanda.
Kwa wale wanaopita Morogoro Road kuelekea Ubungo, Kimara hadi Kibamba gari zenye mstari mwekundu ndizo zenyewe hasa kupanda.
Kuna mistari mingi sana na tofauti ambayo kwa hakika kama tutaendelea kuielezea hapa hatutamaliza kuichambua.
Swali la kujiuliza hapa ni;
NANI ALIYEBUNI RANGI HIZI ZA DALADALA?
Mzee David Mwaibula almaarufu "Makofia" aliyekuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Leseni za Usafiri Dar es Salaam (DTLA) ndiye mbunifu na muasisi wa mfumo huu wa kupaka daladala mistari.
Ubunifu wa Mzee David Mwaibula uliigwa hata na Mamlaka zingine za Miji na Majiji Tanzania Bara.
Mara ya mwisho kuonekana hadharani Mzee David Mwaibula ilikuwa mwaka 2016 kipindi ambapo Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa alipotembelea mradi wa Mabasi yaendayo kwa haraka (DART).
Hakika Mzee wetu David Mwaibula anastahili pongezi za dhati kwa ubunifu huu ambao umeweza pia kuzinufaisha Mamlaka kama VETA.
Tuwaenzi Wazee wetu.
Yupo kwake sinzaKwa sasa yupo wapi kama mara ya mwisho kuonekana ilikuwa 2016?
hebu tupe wewe hizo njia unazoona zinafaa tujirekebisheMwaibula was one of the hopeless people. Alikuwa na siasa za design ya Makamba, hakuna lolote la maana alilofanya. Tatizo la usafiri kuwa shaghalabagala Dar es salaa haliwezi kushughulikiwa kwa kupaka magari rangi, kunatakiwa njia yenye akili zaidi kama wanazotumia wenzetu wa nchi zilizoendelea. Sioi Mwaibula style, na akienda Iringa huenda atapiga kelele kelele tu, naona anfaa kufanya kazi ofisi moja na Makamba!
ApongezweeeView attachment 1827401
Wadau,
Najua mtakuwa mnamkumbuka sana huyu "mheshimiwa" kwa style aliyokuja nayo ya kupiga ufito wa rangi tofauti tofauti kwa kila daladala za jijini ili iwe rahisi kwa abiria kutambua gari husika linapoishia kitu ambacho mikoa mingine ilikuja ikaiga. Pongezi zake!
Lakini ilikuaje akapoteza nafasi yake na kupewa mtu mwengine?
Na je, mchango wake haukuwa "effective" to the extend of being withdrawn?
Where his he right now?
====
UNAMFAHAMU ALIYEBUNI MISTARI YA DALADALA DAR ES SALAAM?
Mabasi ya usafiri wa abiria Jijini Dar es Salaam yametofautishwa kwa rangi kulingana na barabara yanazopipa mabasi hayo sambamba na maeneo yanakotoka.
Mfumo huu umekuwa msaada mkubwa kwa abiria kwa kuweza kuwarahisishia kufahamu kwa haraka barabara ambayo gari inapita hivyo kuondoa sintofahamu juu ya kule wanakoelekea.
Licha ya hilo, mfumo huu umelisaidia Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani kuweza kuwadhibiti madereva wanaoiba ama kukatisha ruti.
Kama msafiri ni mgeni na anataka kwenda Temeke au Tandika basi daladala zenye mstari wa kijani ndizo atakazopanda.
Kwa abiria anayeelekea Banana, Kitunda na Gongolamboto daladala zenye mstari wa rangi ya chungwa linaloiva ndiyo anazopaswa kupanda.
Halikadhalika yule wa kuelekea Mbagala, Temeke au Mbande kupitia Kilwa Road basi daladala zenye mstari wa rangi ya jani kavu ndizo atakazopanda.
Kwa wale wanaopita Morogoro Road kuelekea Ubungo, Kimara hadi Kibamba gari zenye mstari mwekundu ndizo zenyewe hasa kupanda.
Kuna mistari mingi sana na tofauti ambayo kwa hakika kama tutaendelea kuielezea hapa hatutamaliza kuichambua.
Swali la kujiuliza hapa ni;
NANI ALIYEBUNI RANGI HIZI ZA DALADALA?
Mzee David Mwaibula almaarufu "Makofia" aliyekuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Leseni za Usafiri Dar es Salaam (DTLA) ndiye mbunifu na muasisi wa mfumo huu wa kupaka daladala mistari.
Ubunifu wa Mzee David Mwaibula uliigwa hata na Mamlaka zingine za Miji na Majiji Tanzania Bara.
Mara ya mwisho kuonekana hadharani Mzee David Mwaibula ilikuwa mwaka 2016 kipindi ambapo Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa alipotembelea mradi wa Mabasi yaendayo kwa haraka (DART).
Hakika Mzee wetu David Mwaibula anastahili pongezi za dhati kwa ubunifu huu ambao umeweza pia kuzinufaisha Mamlaka kama VETA.
Tuwaenzi Wazee wetu.
Wivu sana.Ila huyu mwamba alikuwa mla rushwa mkubwa kabisa tena wa hadharani.
Unauzalendo kamanda kweli kweli ila sisi wengine tutakuvunja mwoyo, mimi naonaga ma konda wengi ni wehu sina mda wao na wachiaga Mungu, na hiyo nauli ya 400 naiona kama SadaqaKuna hii tabia ya makondakta na madereva kukatisha safari ,hawafiki mwisho wa safari husasan katika Jiji la dar es salaam.
Jana nilipanda daladala ya kutoka mbagala kwenda muhimbili.nilivyoingia ndani nikamsikia Mzee Moja,miaka yake kama zaidi ya 60 hivi,analalamika kwa nini konda amechukua ela ya abiria alafu anasema hafiki muhimbili
Kwani hujuiagi kama huyu ni Trafik?".. nikazunguka nyuma nikapiga Ile plate namba ya daladala ,nikanyanyua simu yangu na kupiga Moja kwa Moja kwa yule askari aliyekuwa pale mataa .."
Uliijuaje namba ya simu ya huyo askari mataa?
Au alikuwa poti?
Huwezi kunielewa,labda nikwaambie tu siyo kila nilichozungumza niseme. Nikusaidie tu kidooogo. alinijibu tu naomba unisaidie plate namba, ila sikuridhika nikasema ngoja tu nilibebe".. nikazunguka nyuma nikapiga Ile plate namba ya daladala ,nikanyanyua simu yangu na kupiga Moja kwa Moja kwa yule askari aliyekuwa pale mataa .."
Uliijuaje namba ya simu ya huyo askari mataa?
Au alikuwa poti?
Tukio huenda likawa la kweli, Ila mzungumzaji ni takataka.".. nikazunguka nyuma nikapiga Ile plate namba ya daladala ,nikanyanyua simu yangu na kupiga Moja kwa Moja kwa yule askari aliyekuwa pale mataa .."