Daaaaah, mnapenda kutoa sifa za uhongo kweli, PCM yake Tambaza ni ya div 3, sio 0
He! Fa alipata zero A level?
kwa nini hao kina mwanaFA wasijikusanye wakafanya shoo yao wenyewe wakajilipa wenyewe? Hii ndio tabu ya wabongo. mwanaFA ana masters, tena ya mamtoni, yule Nikki sijui ana masters na nasikia anataka kutafuta PhD,....Hivi akili hizi zote hawana ujanja wa kufanya shoo zao bila Clouds ya kina kibonde? Bakhresa kaishia la saba.....
Daaaaah, mnapenda kutoa sifa za uhongo kweli, PCM yake Tambaza ni ya div 3, sio 0
Lakini alijitahidi enh, division zero si ndo equivalent to division five, au?!MwanaFa ana masters ya mambo ya finance, kutoka Coventry univ.
Ktk music hatumii masters yake, bali anatumia div zero yake ya pcm na ile certificate yake ya IT kutoka ifm!
Amesema alipwe sawa na Davido au maelezo yake ni equivalent na kusema thamani yake ni robo ya thamani ya Davido? Kutokana na habari hiyo, Davido alilipwa $40K, FA anahoji kwanini hiyo $40K isingetumika kulipa wasanii wanne@ $10K... sawa na kusema, kila msanii hapo thamani yake ni robo tu ya ile thamani ya Davido!huyo fa mpuuz kwel yaan anataka kulpwa sawa na davido wakat mwenzie n intanetional then yy mwsho mpakani
Amesema alipwe sawa na Davido au maelezo yake ni equivalent na kusema thamani yake ni robo ya thamani ya Davido? Kutokana na habari hiyo, Davido alilipwa $40K, FA anahoji kwanini hiyo $40K isingetumika kulipa wasanii wanne@ $10K... sawa na kusema, kila msanii hapo thamani yake ni robo tu ya ile thamani ya Davido!
Mi mwenyewe sometime nikikuona tu, moyo unafanya pah! sema sometime unaonesha mahaba yaliyopitiliza kwa Ally K hadi najisikia wivu na kuona utanipa hedeki bure!Sometimes najikuta nakukubali sana...una akili ila sometimes.......😕😕
Wenzetu wana vitu vingi sana wanaangalia katika kujenga Brand zao Duniani.
Hawaangalii Pesa tu peke yake.
Yani wewe n hopeless huna unachoelewa..
Alaf inaonesha hauna akili kabisa..
Mi mwenyewe sometime nikikuona tu, moyo unafanya pah! sema sometime unaonesha mahaba yaliyopitiliza kwa Ally K hadi najisikia wivu na kuona utanipa hedeki bure!
Aisee... hivi nilishawahi kukuambia kwamba huwa unacheka vizuri ile mbaya?!Hahahaaaa
Aisee... hivi nilishawahi kukuambia kwamba huwa unacheka vizuri ile mbaya?!
Kwanza nasikia Davido alionekana anashangaa Big Screen wakati Weusi wanavyo floor nakuwapandisha watu mizuka na akauliza hawa jamaa ni nani akaambiwa ndio Miamba ya Kaskazini!
What? La kuandikwa? Come on... but I can hear your voice...Kha!cheko hili hili la kuandikwa???
Maajabu ya mwaka haya jamani...😱
Huu ni uongo kabisa unless wewe accountant wa Prime time promotion.Davido aliomba kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta na akaomba alipiwe Ticket, Malazi 5 Star Hôtel, na hela kidogo Haikufika $ 40000.
Huu ni uongo kabisa unless wewe accountant wa Prime time promotion.