tuzo yenyewe kapewa backstage .....syo live, hata hivyo diamnd kajitahidi tuache jelous ....... mpeni dogo credit
Sasa naanza na mmoja mmoja... naanza na wewe kwanza!!!
1. Chanzo cha bifu lako ni Diamond kipi?
2. Chanzo hicho kimetokana na wewe binafsi au kama kwa Somji Juma ambae kwavile yeye ana mahaba kwa Ally Kiba na Ally Kiba ana bifu na Diamond, basi na yeye ana bifu na Diamond!!!!
qn... tuanze hapo kwanza manake nadhani humu kuna re searchable topics.
Si anawabeba mamburura wenzie huko insta jana ndo kawachota nyota na Afisa habari wake jana kaja na mbwembwe za walk of fame kashushuliwa humu sidhan kama alirud tena...
Tatizo Domo analazimisha asifiwe visivyosifika na anapenda sana kudanganya.
Nakumbuka hata alipokuwa underground alipiga na lisanamu kule UK akajishaua ni ukweli watu wakamshushua... hicho ndicho watu wanaojielewa hawakipendi kuwafanya watu mazuzu... hakyanani angekuwa kama AY zile collabo na safari za nje tungekoma.
Kuwa mkweli... warumi mwenzako hafichi mahaba yake kwa Jide na ww huna sababu ya kuficha mahaba yako kwa Kiba... and in fact, hakuna tatizo lolote kwa mtu kuwa na mahaba kwa fulani!!! Tatizo lenu wengine, kwavile mnampenda X basi hamtaki kuona Y akichomoza na mkiona kuna dalili za za kwamba Y anataka kuchomoza... basi mtakesha mkiugua maumivu ya pole pole mkitamani asichomoze... salama na uzima wenu unaibuka ghafla mnaposikia kwamba yule msiyetaka ameshindwa kuchomoza... ndipo mtakimbilia kwenye PC kuelezea furaha yenu... hizo ndio tunaita tabia za "kwanini... tabia za heri tukose wote...nazdaz
Kwanza bange zako peleka kwenu,hakuna aliyemtaja allykiba hapa..
Pili,kama umenielewa tangu mwanzo simchukii diamond wala mzki wake ila nachukia mbwembwe zake za kitoto(mfano:kumtuma afisa habar wake kuja kutudanganya kuwa jina lake limewekwa kwenye HWF wakat hata tupac mwaka huu ndo atawekwa).
TATU,diamond hakusema "nimesaidia kumtangaza davido tz" yeye alisema "nimemtoa davido" hakuweka neno lingne lolote mbele,kama hayo maneno aliwapa mkiwa geto,who is to blame.?mimi au yey.?na hata kama angesema hvo kulikua na haja gani kwani davido amewahi kusema "nimemtoa diamond kimataifa",.?
Alafu kwanni mashabiki wa diamond mnaumizwa sana Allykiba aliyefulia.?Kila kitu nyie mnamuingiza Allykiba wakat huohuo mnasema amefulia,je angekua hit si mngekufa kabsa nyie.?
NasDaz
jana nimecheka yaaani watu wanang'ang'ania kuwa BEt awards zilikuwa bado hazijafanyika kumbe zawadi zilikuwa zimetolewa kabla. Unaaambia Davido kashashinda ite hiyo picha ni photoshop
Kuwa mkweli... warumi mwenzako hafichi mahaba yake kwa Jide na ww huna sababu ya kuficha mahaba yako kwa Kiba... and in fact, hakuna tatizo lolote kwa mtu kuwa na mahaba kwa fulani!!! Tatizo lenu wengine, kwavile mnampenda X basi hamtaki kuona Y akichomoza na mkiona kuna dalili za za kwamba Y anataka kuchomoza... basi mtakesha mkiugua maumivu ya pole pole mkitamani asichomoze... salama na uzima wenu unaibuka ghafla mnaposikia kwamba yule msiyetaka ameshindwa kuchomoza... ndipo mtakimbilia kwenye PC kuelezea furaha yenu... hizo ndio tunaita tabia za "kwanini... tabia za heri tukose wote...
Hilo la kauli ya Diamond... sidhani kama kuna mjadala manake umeonesha wazi wala hufahamu unachoongea. Kuhusu Kiba... una bahati mbaya sana kama unadhani kuna mtu anamchukia kama wewe unavyomchukia Diamond!!! Watu wengi wanasikitika kuhusu Kiba coz' wanafahamu he's something lakini anaonekana kama hajui anachofanya. Tofautisha kumchukia mtu na kuumizwa mtu anaposhindwa kufanya kazi... pole sana kama unadhani leo Kiba aki-hit watu tutakufa... sisi wengine tupo flexible, tunapenda vitu vizuri and we don't care hivyo vizuri vinatoa kwa nani... poleni nyie mnaopatwa magonjwa ya vipindi kila mnaposikia Diamond anatoboa... PRESHA JUU!!!!
Mwanzoni unadai kwamba humchukii Diamond bali mbwembwe zake... sasa mbembwe za Diamond zinakupunguzia nini au kama asingeleta hizo mbwembe ungeongezeka nini? Ndio maana tunasema wivu na chuki zisizo na maana!!! Wewe tangaza magari yote dunia hii ni ya kwako, wala hunisumbui... Ray keshasema yeye ndo msanii tajiri kuliko wote Tanzania... mchukie basi, si mbwebwe hizo!!! Hivi wasanii wangapi duniani wanapiga fix na mbwembwe... yaani unaweza kuchukia kv tu anasema ana hiki au kile wakati hana?
Hahahaaaa binamu utamtoa Swaumu bana kuwa na Subra

Ata aimbe na obama watajijua wenyew wasituchoshe apa
Aaaargh... wewe! Kumbe ulikuwepo ile siku ya Jide? Asavali manake swahibu ako warumi hapa angekuja kubisha kwamba uongo, Jide hawezi kuomba kupigiwa makofi lwakati ni kweli aliomba na Mitanzania tulivyo mishenzi, tukamlia bati vile vile mbele ya minanawe wake... Nakumbuka nilikuwa nimekaa na mwananchi mmoja, hadi leo nakumbuka kauli yake aliyosema "huyu nae, anaacha amalize aende zake, anatutilia kiwengu hapa....!" Trust me, niliumia sana ile siku, yaani tulimdhalilisha sana Jide mbele ya Minanawe!Sina beef bana nas me sio msanii siwez maana beef inashirikisha pande mbili sio moja.
Nimekumbuka hiyo ya jide kuperfom na sidiria kwenye ile show na minanawe akasubiria makofi nimecheka.
Hiyo nyingine nimemsema huyo jamaa anayeweka uwingi kuwa watu wamemjulia Davido na Mafiki kwa Diamond hajisemee nafsi yake peke yake, maana watu wamewafahamu mafiki zolo na davido muda na ndio maana hata Davido kaitwa fiesta ndipo walikutana na Diamond na kufanya collabo.
Suala la Hollywood Walk of fame heaven on desert ametupiga fix lakini hata hivyo siamini kama alikusudia kutupiga fix... hakufahamu! Haya mambo mengine tunatakiwa kutumia akili ya kawaida tu. Hivi inawezekana dunia ya utandawazi kama hii udanganye kitu ambacho unafahamu kabisa within few minutes watu watafahamu ukweli? Ile kitu ni public, utadanganya vipi kwa nia ya kujipaisha? Watanzania tunajitia hamnazo... huyo Diamond ndo mara yake ya kwanza, unadhani angeweza kutofautisha?! Yeye alipofika, kakuta vile vile ka' zile tiles na stars za Hollywood... mtoto wa Kimanyema akaona, alah, Walk of Fame yenyewe si ndo hii, wacha niwatupie mzigo wenye vijiba vya roho!!!! Nadhani hakufahamu kwamba ile ya kwao ambayo ni temporary ni tofauti sana tena sana na ile ya Hollywood ambayo ni permanent! Kwahiyo, hii haikuwa big issue hata kidogo... kawaida sana kwamba jamaa kaingia ama kaingizwa choo cha kike!mkuu umezungumza mengi sana na umeeleweka ila nahisi kuna vitu hujagusia kama swala ambalo wengi wanasema ni uongo, fafanua kuhusu HWF
Suala la Hall Walk of fame heaven on desert ametupiga fix lakini hata hivyo siamini kama alikusudia kutupiga fix... hakufahamu! Haya mambo mengine tunatakiwa kutumia akili ya kawaida tu. Hivi inawezekana dunia ya utandawazi kama hii udanganye kitu ambacho unafahamu kabisa within few minutes watu watafahamu ukweli? Ile kitu ni public, utadanganya vipi kwa nia ya kujipaisha? Watanzania tunajitia hamnazo... huyo Diamond ndo mara yake ya kwanza, unadhani angeweza kutofautisha?! Yeye alipofika, kakuta vile vile ka' zile tiles na stars za Hollywood... mtoto wa Kimanyema akaona, alah, Walk of Fame yenyewe si ndo hii, wacha niwatupie mzigo wenye vijiba vya roho!!!! Nadhani hakufahamu kwamba ile ya kwao ambayo ni temporary ni tofauti sana tena sana na ile ya Hollywood ambayo ni permanent! Kwahiyo, hii haikuwa big issue hata kidogo... kawaida sana kwamba jamaa kaingia ama kaingizwa choo cha kike!
kuna wasanii kama AY ye ashinde au ashindwe waTZ wote tunampa big up coz anajiheshimu na kuheshmu wengne lakini ndomo tunafurahi akianguka sababu ya shauzi zake,mwanzoni nlimpenda sana diamond ila kadri siku zinavyoenda ndo namchokaaaaa...
Ya Davido Kushinda.
Aaaargh... wewe! Kumbe ulikuwepo ile siku ya Jide? Asavali manake swahibu ako warumi hapa angekuja kubisha kwamba uongo, Jide hawezi kuomba kupigiwa makofi lwakati ni kweli aliomba na Mitanzania tulivyo mishenzi, tukamlia bati vile vile mbele ya minanawe wake... Nakumbuka nilikuwa nimekaa na mwananchi mmoja, hadi leo nakumbuka kauli yake aliyosema "huyu nae, anaacha amalize aende zake, anatutilia kiwengu hapa....!" Trust me, niliumia sana ile siku, yaani tulimdhalilisha sana Jide mbele ya Minanawe!