Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

ukweli tatizo la diamond sijaliona tatizo lipo kwa watu wake ndo wanafanya diamond aonekane na image mbovu kwa baadhi ya watu

Ndo tunataka awaambie waache kumdhalilisha haya huyu heaven on desert kutuletea uongo humu jf ili iweje ndo kusema boss wake hayajui au anamtuma. Amwambie huku ma griti sinka hawataki kuwachota akili kama huko insta.. haya aje kutujibu ile hoja ya WALK OF FAME..
 
Last edited by a moderator:
Suala la Hollywood Walk of fame heaven on desert ametupiga fix lakini hata hivyo siamini kama alikusudia kutupiga fix... hakufahamu! Haya mambo mengine tunatakiwa kutumia akili ya kawaida tu. Hivi inawezekana dunia ya utandawazi kama hii udanganye kitu ambacho unafahamu kabisa within few minutes watu watafahamu ukweli? Ile kitu ni public, utadanganya vipi kwa nia ya kujipaisha? Watanzania tunajitia hamnazo... huyo Diamond ndo mara yake ya kwanza, unadhani angeweza kutofautisha?! Yeye alipofika, kakuta vile vile ka' zile tiles na stars za Hollywood... mtoto wa Kimanyema akaona, alah, Walk of Fame yenyewe si ndo hii, wacha niwatupie mzigo wenye vijiba vya roho!!!! Nadhani hakufahamu kwamba ile ya kwao ambayo ni temporary ni tofauti sana tena sana na ile ya Hollywood ambayo ni permanent! Kwahiyo, hii haikuwa big issue hata kidogo... kawaida sana kwamba jamaa kaingia ama kaingizwa choo cha kike!

Teh teh teh hafi yeye supastaa aingie choo cha kike.

Kama hakukusudia analetaje taarifa zisizo kamilika mbaya zaidi ni mtu wake wakaribu ambaye tunaamini ndiye atakuwa mkweli... sasa kama yeye kaanza kusema uongo kweli siku akiwa na jambo zuri la kheri nani atamwamini? Bora hata angekuwa mtu mwingine tungesema kadandia story.. sasa hata huyu staff wake anasema uongo si anamdhalilisha big boss na kuonekana hana watu profesheno.
 
Mkuu Nas daz hii siku nikikumbuka niliumia sana na hapa niliamini 60% ya watanzani tuna roho ya kutu sana

Hahaha labda watu walikwazika na ile shera yake na sidiria...
Ila bongo bana kweli kila mtu ni star kumsifia mwenzie anaonashida.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka huko insta eti Watu wanaleta league na diamond hata passport za kusafiria hawana.....
 
Aaaargh... wewe! Kumbe ulikuwepo ile siku ya Jide? Asavali manake swahibu ako warumi hapa angekuja kubisha kwamba uongo, Jide hawezi kuomba kupigiwa makofi lwakati ni kweli aliomba na Mitanzania tulivyo mishenzi, tukamlia bati vile vile mbele ya minanawe wake... Nakumbuka nilikuwa nimekaa na mwananchi mmoja, hadi leo nakumbuka kauli yake aliyosema "huyu nae, anaacha amalize aende zake, anatutilia kiwengu hapa....!" Trust me, niliumia sana ile siku, yaani tulimdhalilisha sana Jide mbele ya Minanawe!

kudhalilishwa kwa wasanii ni kawaida sana, ndomo mwenyew kashadhalilishwa sana hat uko majuu wakina rihanna wenyew wanadhalilishwaga so ni matokeo tu
 
Last edited by a moderator:
nimecheka huko insta eti Watu wanaleta league na diamond hata passport za kusafiria hawana.....

sasa hod anafananisha jf na insta ndo maana uongo wa insta anauleta huku, next tym mwambie huku ni kwa GT kibao na wabeba box wakutosha, na nn kimemkuta swahiba wako naona karudia ile ID yake ya gossipiwarumi?
 
HOD haelewagi nikimwambia atasema mi hater....
warumi kakutana na boko haramu wameifungia I'd yake....
 
‪#‎DAVIDO‬ ONCE AGAIN.
YAANI KULE INSTAGRAM UKIMSIFIA DAVIDO UNATUKANWA MATUSI SANA NA WANAOJIITA MAKAMANDA WA ‪#‎WEMA‬ NA ‪#‎DIAMONDO‬.!!
YAANI HASIRA ZAO ZOOTE ZA ‪#‎DOMONDO‬ KUKOSA TUZO ZINAKUISHIA WEWE. WATU WANATUKANA HADI MIPOVU INAWATOKA MIDOMONI.

HIVI WANATAKA WATANZANIA WOTE WAMPENDE DIAMONDO???????

HAWA WANAFANYA MCHEZO NA SKELEWU AISEEEEEE.!! DIAMOND BORA ARUDI AENDELEE KUCHUKUA TUZO ZA KILI TU.

NAWASILISHA.

hh team wema na dai we unawaona wazima....?wale washawehuka sio wazima waleeee...mi nimewaona wanafki na wameumbuka baada ya kajala na wema kurudisha ushosti wamelowaaa haooo hatarii wanajfanya kusifia wakati ndo walikuwa wanatukana hafai....yani wanalazimisha kila jambo mi nshawatoa thamani ngoja siku mondi afulie uone watakavyomkengeuka!!!!!
 
HOD haelewagi nikimwambia atasema mi hater....
warumi kakutana na boko haramu wameifungia I'd yake....

binamu umemsikia ndomo uko insta?? mmh nyie ndomo anapenda sifa kiama, eti ka post picha yeye na kerueche eti anakwambia Me na my inlaw , jaman nimecheka binamu, sasa nikajiuliza huyo kerrueche shemej yake kwa nani? yan kualikwa BET uko ulaya mwenzetu kashapata kaka na shemej tayar, mh ndomo anayaweza aiseg
 
hh team wema na dai we unawaona wazima....?wale washawehuka sio wazima waleeee...mi nimewaona wanafki na wameumbuka baada ya kajala na wema kurudisha ushosti wamelowaaa haooo hatarii wanajfanya kusifia wakati ndo walikuwa wanatukana hafai....yani wanalazimisha kila jambo mi nshawatoa thamani ngoja siku mondi afulie uone watakavyomkengeuka!!!!!

binamu nakupendaga sana unajua? yani mtu akitak aone kichaa cha warumi anigusie binamu yangu mbona atafurah kama warumi alivyofurah ndomo kukosa tuzo
 
binamu nakupendaga sana unajua? yani mtu akitak aone kichaa cha warumi anigusie binamu yangu mbona atafurah kama warumi alivyofurah ndomo kukosa tuzo

mi unafkri naogopa mtu binamu...!???hakuna tusi jipya duniani yote yale yale kashfa tushazoea na tumesemwa tangu utoto mama aliponizaa maneno sio moto so this is
democratic country anachukiwa kikwete sembuse dai na wema....hyoo team ije iyukane tani yao ila ndo siwakubali sasa na hata km kajitahd simpendi na bora tuzo kakosa exposure aliyopata inatosha sanaa....!
 
binamu umemsikia ndomo uko insta?? mmh nyie ndomo anapenda sifa kiama, eti ka post picha yeye na kerueche eti anakwambia Me na my inlaw , jaman nimecheka binamu, sasa nikajiuliza huyo kerrueche shemej yake kwa nani? yan kualikwa BET uko ulaya mwenzetu kashapata kaka na shemej tayar, mh ndomo anayaweza aiseg

hahaha niliona nikacheka mwenyewe nikasema kina warumi wakiona hapa balaa....

muwaache mtu na shemeji yake lok
 
binamu umemsikia ndomo uko insta?? mmh nyie ndomo anapenda sifa kiama, eti ka post picha yeye na kerueche eti anakwambia Me na my inlaw , jaman nimecheka binamu, sasa nikajiuliza huyo kerrueche shemej yake kwa nani? yan kualikwa BET uko ulaya mwenzetu kashapata kaka na shemej tayar, mh ndomo anayaweza aiseg

ndo tatizo lake ila si haba kwa characters hizo bora alivyoenda akashake hand na nely si haba na mara laki alivyokosa maana angesema ana undugu na kendrik lamar au my best musician pharrel william...!
 
Back
Top Bottom