qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
mnaijuwa Hollywood au mnaisikia tu? ila sishangai hata jina la kingwendu nimeliona.
Hiyo ni hollywood wake of shame lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaijuwa Hollywood au mnaisikia tu? ila sishangai hata jina la kingwendu nimeliona.
Hii nchi hatutakaa tuendelee kamwe manake wengi wetu tumejawa na wivu wa kijinga... Unaweza kuona Wasanii wenzake ndio wanaongoza kufurahia Diamond kukosa tuzo... roho ya kwanini inatutafuna!!! Hizi roho za kwanini zinatafuna hadi soka letu... utashangaa midume mizuri kufuri zinaning'inia kwenye suruali wanashangilia timu ya kigeni dhidi ya ile ya home... roho ya kwanini!!Wasanii na mashabiki wao wenye roho ya korosho hawafahamu kwamba Music Labels kubwa duniani zina ofisi South Africa na Nigeria coz' wanamuziki wa huko wanafahamika... sisi tunataka atoke yule tunayempenda sisi tu, aliyekuwa nominated kama si wetu basi heri akose ili TUKOSE WOTE... NI USHAMBA ULIOJE!!! Yaani hapa watu wanavyoongea unaweza kusema huwa wameshwahi kukaa meza moja na Diamond na kuna siku akamzingua kwahiyo hasira zake anaona heri akose tu... utashangaa, wengine hata kwenye show zake hawajawahi hata kwenda tuseme labda alikuzingua kwenye show!! Sasa chuki na bifu linatoka wapi... TUKOSE WOTE, kv uliyemtaka hakupata nafasi??? Kwani hakupata nafasi kwa ajili ya Diamond au hakupata nafasi kv hafahamu biashara ya muziki wa kisasa inafanyika vipi!!!Jambo moja lipo clear hapa! Wengi wenu mnaomponda hamjafikia japo nusu ya mafanikio yake... labda mumtishe na hivyo vi-degree vyenu mnavyosihia kulipwa salary ya Laki 6 kwa mwezi kabla ya kodi wala PPF!!! Labda hiki ndicho kingine kinatusumbua... tumesotaa weeee.... na ma-HGK, ma-PCM, ma-CBG na makadhalika... halafu anakuja mwingine anapiga short cut....aaaaargh, inaumiza aisee!!
Afu cha ajabu siku hizi hadi chuki ziko kwa watoto wa kiume wenye ndevu zao,,teh teh teh hizo mambo waachieni kina dada. Unamponda Diamond wakati hata robo ya mafanikio yake hujayapata ndio kwanza unakaa kwenu unagombea maandazi na wadogo zako.
Diamond kajitahidi hapo alipo sio jambo dogo ila kashindanishwa na wakali zaidi yake na davido alistahili kuchukua no doubt. Ila waBongo tupunguze chuki.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mkuu NasDaz umepigilia msumari penyewe watu wana roho ya kwanini na hizo tabia ni za kina dada lakini sasa hivi hadi Wanaume wanazo. Na Mchawi sio mpaka akuroge ile roho ya kwanini pia ni uchawi tosha. Pendeni maendeleo ya wenzenu hizo ni tabia za kigagula, mie binafsi sipendi kabisa mtu mwenye roho ya kwanini na huwa hawaendelei watu wa dizaini hizi!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
The problem with you guys mnadhani kila mmoja ana equal and same taste in music as everyone else!!! Mtu kama sio mpenzi wa muziki wa SA, how do you expect atawafahamu Mafikizolo? Mtu kama si mpenzi wa Nigerian Music, how do you expect him/her amfahamu Davido? Fanyeni research... msije mkashangaa hadi leo kuna watu hawawafahamu P Square lakini wanawafahamu wanamuziki wa kawaida kabisa kutoka Mashujaa Band!!! BInafsi, sikupata kabisa kuupenda muziki wa Congo ingawaje back 1990's ndo ulikuwa una-hit lakini sikuwahi kuupenda! Na kama si kwamba enzi zile, hatukua na choices kwenye TV, sidhani hata kama hao akina Bongoman ningewafahamu lakini kv ndicho pekee kilikuwa kinaoneshwa na hakuna option unalazimika hivyo hivyo lakini niulize nikutajie nyimbo 3 za Bongoman, sizijui....
Mwisho, si kweli, NARUDIA, SI KWELI unaposema eti "kabla minanawe hawajamtoa Lady Jaydee!" Minanawe hawajamtoa Lady JD... Minanawe walfanya kolabo na Jide wakati tayari Jide alikuwa kwenye peak!!! Still nakumbuka kwenye mashindano ya Miss Tanzania ambapo Minanawe walialikwa kutumbuiza... wakataka kufanya ki-star... Jide akabaki nyuma ya pazia akisubiria ifike sehemu yake ya kuimba ili atokeze kwa-surprise huku akitegemea full makofi! Kama kawaida ya Watanzania, wakamchunia... as if kaongia mtu wa kawaida sana hadi ikafikia Jide anaomba kupigiwa makofi!!!!
Huyu Davido ana kipini puani kama cha Chidi Benz au macho yangu hayaoni vizuri?
Maisha ya ku-fake mazuri sana maana mwisho unaumbuka oooh kitorondo anawakimbiza kina davido mbali kwa kura haya kiko wapi? Mwambieni arudi tu home asubiri kili awards abebwe tena
Unanijua au shobo.?
unadhani kama wwe unagombea maandazi ni wote.?
Mapya haya... ulisikia wapi mtu analazimishwa kumpenda mwingine... hapa watu tunazungumzia chuki za hovyo kwavile tu mnaowashabikia hawakupata nafasi basi mnataka wengine wote wakose...Mnachotaka nyie ni kutulazimisha kumpenda ndomo eti kisa nyie mnapempenda,we mkubali ndomo m namkubali mwngne ndo maisha yanaenda,alafu mngejua maisha nnayoishi dah.!!!
Sasa naanza na mmoja mmoja... naanza na wewe kwanza!!!Ile siku aliyovaa shela yake ya sidiria na shela ya harusi yake lol!!
Alafu pili watu wanaponda kutumia uwingi eti wengi hatuwajui angesema yeye ndo kamjua Davido na Mafiki kwa Diamond .
Mnachotaka nyie ni kutulazimisha kumpenda ndomo eti kisa nyie mnapempenda,we mkubali ndomo m namkubali mwngne ndo maisha yanaenda,alafu mngejua maisha nnayoishi dah.!!!
Teh teh teh labda Diamond unamfikia kwa kipi ndio tuendelee?
Mkuu nikujue labda utanisaidia nini Maskini tu wewe,,maana umekaa kichuki chuki tu hizo ni dalili za watu Maskini, Shobo wewe uliye niQoute kwasababu siku kujibu wewe.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mapya haya... ulisikia wapi mtu analazimishwa kumpenda mwingine... hapa watu tunazungumzia chuki za hovyo kwavile tu mnaowashabikia hawakupata nafasi basi mnataka wengine wote wakose...
Si anawabeba mamburura wenzie huko insta jana ndo kawachota nyota na Afisa habari wake jana kaja na mbwembwe za walk of fame kashushuliwa humu sidhan kama alirud tena...
Tatizo Domo analazimisha asifiwe visivyosifika na anapenda sana kudanganya.
Nakumbuka hata alipokuwa underground alipiga na lisanamu kule UK akajishaua ni ukweli watu wakamshushua... hicho ndicho watu wanaojielewa hawakipendi kuwafanya watu mazuzu... hakyanani angekuwa kama AY zile collabo na safari za nje tungekoma.
HahahahahahahahahahA..
Umasikini nausikia tu kwa watu kama nyinyi,na nna uogopa kama ukimwi,na siji kuupitia..
Tufunge mabishano,basi diamond kachukua tuzo ya BET,tupige makofi.....
Diamond platnumz bado ni among the best in Africa we are proud of him, big up Diamond kaza next time uende tena