Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Watanzania hata wsilaumiwe kuhusu kura jamani yeye mziki wake au improve ufike level za ki na Davido anayejulikana Africa nzima na nyimbo zake nzuri tofauti na yeye aongeze bidii tuzo za BET hawana longolongo kama za kibongo

Mbona Mimi simjui
 
Mmanyema huyu kashikwa na mafisadi wa mzik bongo wapo wawil ambao n Fela na babu Tale,et hawa ndo wanajifanya kuwa managers wake huyu jamaa lakn kwa uhalsiabhawa hawana contribution yyt kwa huyu mtoto coz sio wasomi,hawana mtandao mpana kwa levo alioifikia diamond,wao kisa wanajuana na wamilik wa radios bongo wanadhan na dunia nzima itakuwa hvo...kumbe sio,Diamond usiwaogope hawa mafisad hata wakikutilia fitna nyimbo zako kupogwa bongo we kaza kimataifa utatoka tu tafta manager mwenye ushawish kimataifa sio hawa wauza madafu wako after pesa zako tu,walikuwa wapi kukuingiza Tiptop au wanaume famly miaka hyo upo waosha vyombo kwao bob jr?nawachukia hawa wawil na mwenzao Ruge ndo wanaorudsha nyuma mzik wetu kmataifa kwa kujali matumbo yao.


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mbona Mimi simjui

Ni wewe tu humfahamu lakini anajulikana almost Africa nzima mana west Aftica music ndo una dominate Africa na ndo mana ilikuwa rahsi kwake ku win kura na nyimbo zake nzuri
 
kudhalilishwa kwa wasanii ni kawaida sana, ndomo mwenyew kashadhalilishwa sana hat uko majuu wakina rihanna wenyew wanadhalilishwaga so ni matokeo tu
Hapana bhana, hata kama unaona hapa nimeandika kishabiki, ni kusherehesha mjadala tu lakini ile siku niliumia sana... ingekuwa Jide yupo na wabongo wenzake wala nisinge-mind.
 
Mimi na wewe nani hajielewi??!! Awali umekana kwamba huna chuki na Diamond... yaani umeshasahau jinsi ulivyoandika kichuki chuki hapo juu ukifurahia Diamond kukosa tuzo!!! Ona ulichoandika:
Sasa kama sio chuki za hovyo hovyo tuite nini? Maajabu mengine una-mind hadi Diamond kusema amemtoa Davido... Davido mwenyewe haja-mind unakuja ku-mind wewe, MAAJABU HAYA!!!

Kuhusu Kiba... umesahau hapa ulivyotaka kulia majuzi uliposema Kiba anamvumilia sana Diamond coz' mara kibao Diamond anamsema vibaya Kiba lakini Kiba anakausha! Tukiacha bifu la nyimbo ya Single Boy, weka source hapa kuonesha Diamond akim-diss Kiba na kama huna basi it's obvious wewe ni swahibu ake Kiba kwahiyo Kiba anakuambiaga jinsi anavyomvumilia Diamond!!

Then unaongea trash... eti mbona anaposhindania AY huwa hakuna mgawanyiko... that's a piece of trash. It doens't matter nani yupo ulingoni, ili mradi unafurahia kushindwa kkwake basi wew ni mchawi tu!!!

Hizo habari sijui #team kufanya nini ni type of trash that you routed to a wrong destination... i hope unao watu ambao story zenu kuhusu #team so and so zinafanana!!
 
Na hata wenye nazo, majority zinakaribia ku-expire hata kugongwa angalau Namanga hapo bado!

binamu watu tunasafir nchi za nje kula bata tu na kufanya shopping, na tumeanza kusafir na ndege tena nchi za nje tukiwa bado wadogo na hata hatujielewi

Sasa huyo masanja na mwenzie ndomo hawakuwahi kuota maisha yao yote kama watakuja kupanda ndege achilia mbali kwenda ulaya, watu tumeanza kumiliki passport tukiwa wadogo hata hatujui nini maana ya passport

Halafu kitu kingine ni ushamba wa hali ya juu kujitapa na vi passport vyenu , watu wana passport na uraia wa nchi mbili mbili na hawajitapi wapo kimya, sasa wenzangu na mimi na vi passport vyao vya ukubwani wanaleta shida tu apa na ulimbukeni wa maisha
 
Yani acha tu kunawatu wana mashauzi ndio wanao zionyesha onyesha insta wkt hazina ht mihuri.. wenye mihuri zao wamepaki kwenye mabegi...

Jamani insta kuna vituko binamu, unakuta mtu anapost passport mwenyew halafu anaandika off to Dubai, cha ajabu sasa kesho mnakutana nae kwenye daladala kariakoo, sasa sijui Wanaendaga Dubai za instagram au vip
 

that's what we call from zero to hero...... uliishi ukiwa huna hopes za kutembea sehem mbali mbali lakin sasa hizo zinakuwa safari za kawaida.....hard work pays

halafu unasema ni ushamba wa hali ya juu kujitapa halafu hapo juu kwenye post yako unasema "watu tunasafiri nje ya nchi kula bata shopping" huoni huo ndio ushamba wenyewe.......
 

We timu Kajala nini kama Mtanzania inabidi umsifie msanii wa nchi yako we unadhani huyo Davido ataisaidia Tz!
Hafu wanaigeria walishatembea sana Duniani ni rahisi kufahamika kulikp sisi
 

Nilikuwa nataka nimu habarishe huyo bwana mkubwa kuwa na sisi tunayaweza maana naona watu kwenda ulaya wanaona big deal wakati ni kawaida. Sio lazima kila mtu ajue una ulimbukeni wa maisha hata kama umetoka familia duni na hukuwaza kuwa ipo siku utaenda ulaya
 

Tena kuna wabongo wamezaliwa ulaya na kukulia uko na kuendesha maisha yao uko na hawana uo ulimbukeni wa kujishau hivyo ,sasa mtu kwenda ulaya na visa ya wiki mbili fujo kibao wakati watu wana uraia kabisa wa uko majuu, na wenyewe wangepata uraia si ingekuwa shida apa mjini.
 

ulishaenda ulaya mara ngapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…