Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Of course, Masanja kapanchi... sema mie siwezi kutafuta fedha kwa ku-hustle halafu nijitie Ulokole!! Haiwezekani pesa nitafute kwa ku-hustle halafu nianze kuitumia kwa kujificha ficha... ukionekana bar na demu, nongwa--- kisa, umejitangaza Ulokole, unless kama kisu chenyewe nimekipatia kwa staili hizo!
 


Huwa nawaangaliaga hao maskini siwamalizi...

kwenda america na ulaya wanaona fahari wakati wenzao wanaenda Kama kariakoo...

UTAWAKUTA WAMERUNDIKANA HUKO ECONOMY CLASS KWA WANUKA JASHO WENZAO LAKINI WAKIFIKA USHENZINI TAMBO KIBAAAAO

Kwa tabia zao za kikuda inafanya hata watu wasiwapende....
 

kwenda America tena? au kuja America si upo marekani wewe? hii ni jf ulijuwe hilo kwanza, kwahiyo wazungu wanaopanda economy class ni wanuka jasho pia?

siku zote uzoefu unaonesha maskini wana tambo sana maana hawajui hata hizo business class wenye pesa hawana haja nazo bali mwendo ni private jet.

hongera if u can't make it then fake it.
 

Inaonekana unafwatilia Sana maisha ya watu nani kakwambia anaishi marekani? Au unashindwa tofautisha mtu akisema nipo marekani au naishi marekani?

Mi sio mnuka dhiki Kama nyie mnaokesha kujitapa hapa kwamba mnaenda majuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…