Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
insta ukimsifia davido tu unachambwaje Watu hasira zinaishia kwako
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi wacha weeeh kumbe kuna vita huko???Mzima wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
insta ukimsifia davido tu unachambwaje Watu hasira zinaishia kwako
teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii bet kaenda mwenyewe.. Wakati nikikumbuka madam kule ig siku ya kwanza kuweka picha ya diamond kuomba kura alisema "cant wait to see my sisters los angeles ... Bla bla blah blah usa nini nini hahaha nauli haikutosha ama???
team ina hasira kweli....
Samahi ndugu nina uhakikia hta wewe unafahamu kuwa umequote uongo,hakusema amemtoa davido wala hakumaanisha hivyo..alichomaanisha remix yake na davido ilifanya hta huku bongo watu waanze kumfatilia zaid tofauti na mwanzo,kumbuka wakati clouds wanatangaza kuwa ataperfome wengi waliponda kuwa wameishiwa,waanaleta wasanii gani wale hta ngoma zao hazfahamiki,..all in all hakumaanisha eti ndio kamtoa...najua umecoment kishabiki tu ndio mana umewekqa chumviJamaa kinachowagawa mashabiki wake ni tabia ya kuji promote hata vtu vya kawaida,..
Ukisoma jarida la babkubwa sijui na la mwez wa4 Lile ambalo yeye ame cover,kuna sehem anasema "YEY NDO KAMTOA DAVIDO",nilishtuka,ila nkakumbuka alivosemaga ana Bilion1 benk,nkaona kawaida tu..
miracles do happen sometimes
Diamond platnumz bado ni among the best in Africa we are proud of him, big up Diamond kaza next time uende tena
Teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii BET kaenda mwenyewe.. wakati nikikumbuka madam kule IG siku ya kwanza kuweka picha ya Diamond kuomba kura alisema "Cant wait to see my sisters Los Angeles ... bla bla blah blah USA nini nini hahaha nauli haikutosha ama???
Samahi ndugu nina uhakikia hta wewe unafahamu kuwa umequote uongo,hakusema amemtoa davido wala hakumaanisha hivyo..alichomaanisha remix yake na davido ilifanya hta huku bongo watu waanze kumfatilia zaid tofauti na mwanzo,kumbuka wakati clouds wanatangaza kuwa ataperfome wengi waliponda kuwa wameishiwa,waanaleta wasanii gani wale hta ngoma zao hazfahamiki,..all in all hakumaanisha eti ndio kamtoa...najua umecoment kishabiki tu ndio mana umewekqa chumvi
diamond anaimba vizuri east africa nzima anakimbiza kwa sabab anaimba lugha ambayo sote twaielewa ila nchi nyingine hawamwelewi anachoongea na kiukwel ana mashair mazur kuzid davido mwisho wa siku ni lazima tu yule anaeimba watu wengi wanachokielewa ndio atashinda so kiufup jamaa itabid akubaliane tu na hali kwamba davido kapewa maana anaimba lugha ya kiingereza lugha ambayo inajulikana sana ulimwenguni kuliko hiki kiswahil ambacho pengine mtu ataishia kupenda tu sauti na melody bila hata kujua neno moja lililoimbwa so kwa ushaur wangu mi kiingereza na kiswahil nakijua na kwangu diamond namkubal kuzid davido ila nchi nyingine watabak na davido tu
Samahani mbona mnapenda kupotosha ,hata kama mtu hamkubali si kiivyo mnafanya,si kweli kuwa alienda na idadi hiyo mnayoikuza hapa..Diamond aliondoka hapa na dancers coz alienda kuperfome,baby ake,mama na meneja baasi..wengine walienda kikakzi kama millard ,missago ..pia wpo walienda kwa mapenzi kabisa na kwa nauri zao kwenda kutoa sapoti..na mbona hiyo ni kawaida wasanii kwenda na wapambe wao kwenye tuzo..mbna kina davido na wasanii wengine walipokuwa wanaenda kuchukua tuzo walikua wanaenda na rundo la watu wao pale stejini hamkuona hayo??acheni bana hizo..
Naangaliana aina ya watu wa kujibu,kukujibu wewe amabaye tayri unaonesha unachuki na jamaa itasaidia nini kama si kupoteza mda tuBwana KIFESI samahani kidogo..
Mda ule una post thread ya Diamond kuwekwa kwenye Hollywood walk of fame ulikua umevuta bange au umelewa au ulikua na akili zako timamu.?tafadhari majibu yako ni faraja kwangu..
heaven on desert