Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Huu Ni Mstari Wa Davido Kwenye Rmx Ya My Number One "Tanzania To Lagos I Gonna Make You Famous"alaf Leo Hii M2 Anayewekwa Famous Amshinde Icon Yke Bt Kapga Hatua Diamond
 
Uyu davido kudadadekiiii zake mara ya pili ndani ya muda mfupi anamtia majeraha Diamond haaaahaa wapi meneja babu Talle na mkubwa Fella hizi mambo zinataka watu proffesional kama akaze na mabanzi ya KTMA yale yale huku ajipange haswaaaa.
 
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu alisafiri na watu kama 100 na tuzo akakosa..

Mi naona afadhari,kwasababu angechukua domo,tusingelala kwa kelele,kama KUWA nominated tu tumednganywa jina lake limewekwa kwenye Hollywood walk of fame,je angechukua.?

Nakumbuka kwenye jarda moja la kila mwezi diamond alifanyiwa interview akasema yeye ndo kamtoa davido,dharau iliyoje..

uandishi wako wa mada hauna tofauti na wa hod,
 
cool down Mr. Diamond Platinumz si unajua mjini kote ni Skelewu tu na Ngololo mwisho Chalinze!? Ila usikate tamaa endelea kufanya kazi nzuri next time zinaweza kukupa tuzo!
 
Mbona kwenye chnnl ya bet, wanasema izo tuzo zitatolewa two dyz to go?

Yaan kwenye BET wataonyesha marudio ya hizo awards 1st of july nafkiri wameniboa kweli eti hawaonyeshi live sijui kwanini siyo kama zile za mtv.
 
Yaan kwenye BET wataonyesha marudio ya hizo awards 1st of july nafkiri wameniboa kweli eti hawaonyeshi live sijui kwanini siyo kama zile za mtv.

hizi awards za best international Act na zinginezo ndogo ndogo huwa zinatolewa awali kabisa, kabla ya kilele chenyewe..

So haziwez kuonyeshwa, hizo ni sherehe za awali tu, Ambapo ndo wanatoa Tuzo kama hizo ili, kupunguza mzigo katika siku kamili ya utoaji tuzo wenyewe, ambapo ni mostly kuwa tuzo za native artists (amercans), ndo zinatolewa rasmi.

so just tune in BET channel siku ya j4, utaona kila kitu LIVE..trh 1 july.
 
Jamaa kinachowagawa mashabiki wake ni tabia ya kuji promote hata vtu vya kawaida,..

Ukisoma jarida la babkubwa sijui na la mwez wa4 Lile ambalo yeye ame cover,kuna sehem anasema "YEY NDO KAMTOA DAVIDO",nilishtuka,ila nkakumbuka alivosemaga ana Bilion1 benk,nkaona kawaida tu..

Tatizo la dogo ni kwamba ameingiza propaganda kwenye mziki wake. Hii ni hatari kwasababu hiki ndicho kinachoua hata soka letu sababu ni promo za kipropaganda....Nilichoka niliposikia ile propaganda ya yeye kuombwa na mafikizolo kufanya kolabo eti as if yeye ni big star kuliko mafikizolo... Hongera zake kwa alipofikia. Ni hayo tu.
 
Hongera zake kwa kushiriki na amejitahidi ndio maana alikuwepo kwenye nomination!

Daa watanzania wanaweza kumfanya mtu aache mziki kwa kweli Kama una moyo mwepesi
.....Aiseee

Propaganda zimemmaliza. Kipaji hakidanganyi....huwezi kumshinda mtu alikutoa, amekuzidi kila kitu na mpaka style ya mziki wake unaiga then uje utegemee kumshinda?? Ha ha ha ha it's impossible to possibilize aisee
 
Teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii BET kaenda mwenyewe.. wakati nikikumbuka madam kule IG siku ya kwanza kuweka picha ya Diamond kuomba kura alisema "Cant wait to see my sisters Los Angeles ... bla bla blah blah USA nini nini hahaha nauli haikutosha ama???
 
Teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii BET kaenda mwenyewe.. wakati nikikumbuka madam kule IG siku ya kwanza kuweka picha ya Diamond kuomba kura alisema "Cant wait to see my sisters Los Angeles ... bla bla blah blah USA nini nini hahaha nauli haikutosha ama???

Na hapooo utakuta alikua kawaahid dada zake nakujaaa LA halaf holaaaaaa
 
Back
Top Bottom