Mkulima Nchini
Member
- Jan 30, 2013
- 71
- 9
Wapi Rais went JK...ahahaaaa wajaribu next time.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpwa naona uandishi una improve
Acheni kuwapaka mafuta wasanii wenu waambieni ukweli wasanii wenu.
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu alisafiri na watu kama 100 na tuzo akakosa..
Mi naona afadhari,kwasababu angechukua domo,tusingelala kwa kelele,kama KUWA nominated tu tumednganywa jina lake limewekwa kwenye Hollywood walk of fame,je angechukua.?
Nakumbuka kwenye jarda moja la kila mwezi diamond alifanyiwa interview akasema yeye ndo kamtoa davido,dharau iliyoje..
lakini angalau kawekwa kwenye HOLLYWOOD WALK OF FAME maana sidhani hata mtu kama Ben Stiller, Taye diggs, sanaa lathan, Omar Epps wamepewa hiyo heshima
Mbona kwenye chnnl ya bet, wanasema izo tuzo zitatolewa two dyz to go?
Yaan kwenye BET wataonyesha marudio ya hizo awards 1st of july nafkiri wameniboa kweli eti hawaonyeshi live sijui kwanini siyo kama zile za mtv.
mpwa naona uandishi una improve
Jamaa kinachowagawa mashabiki wake ni tabia ya kuji promote hata vtu vya kawaida,..
Ukisoma jarida la babkubwa sijui na la mwez wa4 Lile ambalo yeye ame cover,kuna sehem anasema "YEY NDO KAMTOA DAVIDO",nilishtuka,ila nkakumbuka alivosemaga ana Bilion1 benk,nkaona kawaida tu..
Inabidi aache kuvaa sket kwanza ili asonge mbele..
Hongera zake kwa kushiriki na amejitahidi ndio maana alikuwepo kwenye nomination!
Daa watanzania wanaweza kumfanya mtu aache mziki kwa kweli Kama una moyo mwepesi
.....Aiseee
Teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii BET kaenda mwenyewe.. wakati nikikumbuka madam kule IG siku ya kwanza kuweka picha ya Diamond kuomba kura alisema "Cant wait to see my sisters Los Angeles ... bla bla blah blah USA nini nini hahaha nauli haikutosha ama???