Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Naangaliana aina ya watu wa kujibu,kukujibu wewe amabaye tayri unaonesha unachuki na jamaa itasaidia nini kama si kupoteza mda tu

Sina chuki na yeye wala na mziki wake,nina chuki na propaganda zake na sifa zake za kijinga..kama kukutuna wewe uje utwambie amewekwa kwenye hollywood walk of fame
 
Kajitahidi maana tz kuna wanamziki wengi tu lakini ni yeye tu aliyechaguliwa kushiriki, kukosa tuzo ni kawaida kwakuwa ilikuwa ni moja na washindani walikuwa zaidi ya idadi ya tuzo lazima wengine wakose...
Hizo sound za kuwekwa HWF zitakuwa za HOD tu sidhani kama alitumwa na boss wake.
 
Chuki zako kwa Diamond zinatokana na mahaba yako kwa Ally Kiba na wala huna sababu za msingi. Kwani Davido alikuwa anashindanishwa na Diamond? Zile ni tuzo jombi... ni mmoja tu ndie anapata na wengine wote kukosa. Ngoja nikuulize... umeshapata kuona matangazo ya nafasi za kazi? Watasema hivi: Minimum Requirement: University Degree in so and so... Hapa mwenye Diploma hapaswi kuomba unless kama hana akili timamu. Wenye hizi minimum requirement wataomba makumi kwa mamia ni ikibidi hata maelfu... utafuata mchujo wa kuondoa makapi, kisha utafanyika mchujo ili kupata pure breed... hii pure breed ndio itaitwa kwenye oral interview... hawa wote wana sifa sawa lakini anatakiwa mmoja! Yule atakayepata kazi huwezi kusema kwamba ndo mkali kuliko wote coz' miongoni mwa wote wenye sifa, aliyetakiwa ni mmoja tu, PERIOD! Katika hili, Diamond alikuwa na sifa za ziada... alipita hadi kwenye kapu la kutenganishwa kati yake na makapi... akaingia kwenye kundi la pure breed... among all, alitakiwa mmoja tu! Huyo Ally KIba anayekufanya umchukue Diamond hakuwemo hata kwenye kundi la makapi, seuze pure breed???!!!

Hilo la kwamba Diamond alisema yeye ndie alimtoa Davido, acha uongo wako usio na maana... alichosema ni kwamba alisaidia kumtangaza Davido Tanzania na hili ni kweli. Watu mnaobisha kwamba Diamond hakusaidia kumtangaza Davido Tanzania ni wale wenye mawazo kale mnaodhani kila mtu anapenda muziki wa Nigeria, so kwavile Davido ni Nigerian Star basi atakuwa anafahamika na kila mtu... this's wrong!!! Wapo watu kibao, including myself ambao we're more crazy in Bongo Flavor kuliko NIgerian Music. Binafsi, nilimfahamu Martin (hata sikumbuki jina lake vizuri) baada ya kufanya kolabo na Ommy Dimpoz na AY/Mwana-FA! Sasa ikiwa mfuatiliaji wa muziki amemfahamu Martin kupitia wana-Bongo Flavor, what about mtu asiyefuatilia?
 
result ad it stand now yan hapa nmetoka kuvote eventhough mimi sio mshabik wake
 

Attachments

  • 1404098544478.jpg
    39.6 KB · Views: 232
Asante Mungu kwa kusikia maombi yangu.
 
Hii wiki itakua njema sana kwangu.
 
Diamond platnumz baada ya kutofanikiwa kupata Tuzo Ya BET asema haya
..
Imani yangu ni kwamba umekuwa mfuatiliaji mzuri wa habari tofauti kuhusu muziki wa Tanzania na unafahamu kuhusu tuzo kubwa aliyokuwa akiwania msanii Diamond katika tuzo za Bet Nchini Marekani. Taarifa mpya ni kuwa Tuzo zimefanyika na Tuzo aliyowania Diamond ya Best Africa Act imekwenda kwa msanii mwenzake Davido kutoka Nigeria.
Kwenye instagram Ya Diamond Kuna Huu Ujumbe kuhusu Matokeo Hayo.
¡± Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani¡-.Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo¡- Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa¡- Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!¡-. Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa¡-..!!!!!! @wcb_wasafi For Life Baby .
Msanii wa Nigeria, Davido ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best African Act, katika BET Awards 2014 zinazofanyika usiku huu Los Angeles, Marekani.
Davido alikuwa anawania kipengele hicho na wakali wengine kutoka Afrika akiwemo Diamond Platinumz, Mafikizolo, Toofan, Sarkodie na Tiwa Savage.

Show kamili ya tuzo hizo imeanza muda mfupi baada ya kutoa tuzo hiyo kwa msanii wa Afrika.
Ingawa Diamond Platinumz hakubahatika kuichukua tuzo hii, lakini hatua aliyopiga ni kubwa sana inayoweka Tanzania kwenye historia ya tuzo hizo kubwa za muziki duniani.
Kabla ya tuzo hizo, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na vituo vikubwa na kuhudhuria mkutano maalumu wa wanamuziki wa kimataifa, na jana usiku aliungana na wanamuziki wenzake wa kimataifa katika BET Pre Awards Party.
 

Attachments

  • d1.jpg
    69.6 KB · Views: 366

watu mia? huyu mtoto mpumbav kwel hyo hela si angemfungulia mama ubya ile ofis cleme aliyopora vyombo?
 
Diamond platnumz bado ni among the best in Africa we are proud of him, big up Diamond kaza next time uende tena

Nyie mnasafiaga ata ujinga, kama angekuwa msanii bora africa si angepat tuzo? Ndomo wenu huyo bado sana atahangaika sana na collabo za mastaa wa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…