Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Wenye roho za kwanini watakuja na post za kuponda na kupondea
 
Nyie mnasafiaga ata ujinga, kama angekuwa msanii bora africa si angepat tuzo? Ndomo wenu huyo bado sana atahangaika sana na collabo za mastaa wa juu

Nashindwa kudadavua uelewa wako, kuwa katika ile category ya BET Award inabidi uwe the best, uchujwe uchujike, ukubalike na kutambulika...first thing first kama siyo mwanamziki bora asingekuwepo kwenye category in the first place,

R.kelly king of RnB kila mtu anajua ni mwanamziki bora, katika BET kawa nominated mara 7 kashinda mara moja tuu, MTV mara saba hajawahi kushinda, Grammy Awards mara 24 kashinda mara tatu, acha ushabiki maandazi
 

Kumbe ndo ivo wanafanya nikajua kila kitu ni jana! Thanks Mos.
 
Hivi ukimpa sifa mtanzania mwenzio utakatika mahali...??? Watanzania tuna wivu sana na chuki binafsi zilizopitiliza. Yaani umekaa kabisa na kuanzisha uzi kwa ajili ya kumponda Mtanzania mwenzio na kurusha sifa kwa Mnigeria. Umeshindwa kuelewa kua Davido kafika pale alipo kwa sababu ya wa Nigeria wenzie na sio sababu ya Watanzania. Mpe Mtanzania mwenzio sifa pale anapostahili, acha roho ya wivu....Big Up Diamond, kuna siku utafikia malengo yako wa ajili ya Watanzania...!!!!

 
Kumbuka kua Kiingereza sio Lugha yake na sio lazima aijue ili afike mbali. La muhimu analotakiwa kufanya kwa sasa vile ana pesa atafute mkalimani. Wako wangapi wenye mafanikio na hata yes/no hawaijui...?? Fagilia lugha yako, acheni lugha za kuiga. Namkubali Diamond, atafika tu bila hata hicho kiingereza.

Diamond pia kiingereza kinamuangusha nimeangalia interview yake pale dah... maana inabidi akatishe mazungumzo no kujieleza
 
Hivi alikuwepo au?
Alifanya pafomansi?
Wapambe wake vipi?
Naona leo kimya sana zile za KwaZulu waliongea sana

Perfomance? BET unaijua ama unaisikia.. Jay z mwenyewe akipewa shavu la kuperfom BET anafurahi.
 
Hizi ni ngonjela za kuku kuwaambia firanga vyake kuwa kesho watanyonya miaka na miaka inazidi kukatika, ukweli ni kwamba Diamond hatokaa achukue tunzo ya kimataifa hata moja kwa kutegemea Aboostiwe na collabo za mastaa wa nje afanye mwenyewe kama mwenyewe ngoma zihit mbele kwa mbele kama anavyofanya babake Davido anapika ngoma kali yeye mwenyewe bila kutegemea collabo ya mtu yoyote ili Imboost na anafanikiwa, sasa diamond kama nyimbo zake ndio kamaa hii mdogomdogo mnasubiria aje abebee tunzo?
 
Jamani tuache kujipa moyo kuwa kuwa nominated inatosha hapana ilitakiwa ashinde kabisa
 

Wewe una kichaa sio mzima kabisaa
 
Hebu tuwekee picha yako hapa tuone domo lako likoje.... Watu mmesahau kabisa kua wote viumbe wa mwenyezi mungu na hakuna mkamilifu, tena wewe nina wasiwasi 3.5 - 4" height, kistuli fulani. Acha kashfa zilizochanganyika na wivu.

Yanii kunamchiz apa kitaa anavyompenda domo bc kila kukicha anakuja n stail y domo...ss leo amesikia domo amekosa tuzo acha alie...ss ninajihuliza kwa mzik gani wa domo mpaka mtu ajiwekee 100% atashinda
 

Wewe una matatizo gani? Kwan kuna mtu aliyefungwa kamba au kulazimishwa kumsifia mtu? Ebu acha mambo yako ya kizamani apa, wewe kama unamsifia na kumuabudu fanya kivyako kwa mapenzi yako na muda wako usitake kutuletea habar zako, ndomo ndomo hatupumui
 
Sio siri mi usingizi haujapita kabisa baada ya mnafiki na hater mmoja kunipigia simu usiku usiku eti Dangote kakosa tuzo, Binafsi naamini sana uwezo wa Diamond lakini najua dogo wamemuhujum bure maana hata kwa wenzetu wanajua fitina lakini hii haindoi ukweli kuwa Diamond ndio star wa kwanza anayekimbiza Africa.
 

Sio Afrika ni EAST AFRIKA tu
 

Lugha muhimu wazungu hawaelewi ngolololo wanaelewa skelewu tu , hyo ngololo mkacheze uko tandale
 

Ndio Dangote ndio aliomtoa Davido East Africa kwani mwanzoni tulikuwa hatumfahamu kabisa.
 

kule hakuna ruge mutahaba ili ulijuwe vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…