Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

huwezi pendwa na binadamu wote au kuchukiwa na wote.cha msingi hao haters wana haki ya ya msingi pia na tatizo si km dai hapendwi ila wanakereka na mashauzi yake na hizo team zao za kishenzi kishenzi!mi nlikua mshabiki wake ila asa hv anaboa sana tena labda akitaka ang'ae aachane na mtu km wema mana kuna siku nlimskliza kadinda kwenye mkasi ni km vile wema na dai wakiwa pamoja hawaendelei ukiangalia ht namba one imehit before hajawa na wema na km mnabisha tuone nxt year atachkua tuzo ngapi...wao wanaona kushabikiwa kwenye mitandao ndo mafanikio......!diamond anapaswa kubadilika ili afikie level za kina davido....
 
Mkuu ndio wengi tulikuwa hatumjui kabisa, hata hao Mafikizolo tumewajua baada ya kuskia wamepambanishwa na mkali wetu Dangote kwenye tuzo za MTV. Over

Kama ni hivyo, wengi wenu mtakua mmeanza kufuatilia muziki baada ya Diamond kutoka. Jamaa ni wakari na walitoka kabla minanawe hawajamtoa Lady Jaydee hivyo kama umewasikia mafikizolo mwaka huu basi fahamu kua hauna hadhi ya kubishana ktk mambo ya Muziki.
 

wewe hapa siyo instagram tuondolee ujinga wako hapa, ingekuwa hivyo wachina wangekomba tuzo kila siku, unaijuwa population ya china?
 
Hahahahahahah

Diamond pole kaka kama watz wenzako ndio hawa.

Huyo ndomo wako atasubir sana, yani anategemea kutoka kimuziki kwa kufanya collabo na akina davido? Na kawa niminated kwa ajili ya davido, maana ndomo hawamjui

Siku nitamuheshimu ndomo akichaguliwa kuwania tuzo kwa nyimbo yake mwenyewe bila kufanya collabo na wasanii wa nje, maana ndomo akili zake zote kuwa asipofanya collabo na akina davido na tiwa savage hawez kufika mbali na uo ni uchizi na hata kaa afanikiwe kamwe, atulie nyumban atoe vitu vya adabu achaguliwe BET tena kwa mgongo wake mwenyew sio akina davido tena
 

Mi watu mnaniachaga hoi eti kwa alipofikia kajitahid , kwa nini asiweze sasa, maana tumewachoka kila siku alipofika kajitahid, mlianza hivyo hivyo kweny tuzo za mtv na bet tena ooh kajitahid , sasa lini atafanya kwel?

Tatizo ndomo ana mawazo mgando akili zake zote kuwa akifanya collabo na wasanii wakubwa ndo atafanikiwa ina maana yeye kusimama mwenyew hajiamin kabisaa kama ataweza
 

mwambie huyo eti mafikizolo kawajua juzi daah kumbe tunabishana na watoto wa juzi baada ya diamond kutoka....!maana mi davido wimbo wa sskelewu ninaupenda na hata my no.remix mi naona s nzuri kuliko ile ya mwanzo!
 

Na sasa hiv ataimba na trey song mbona watamjua tu kwa lazimaaaa binam chezea daimondooi weyeeeee mpaka kielewekeeee
 

Acha chuki.. Pale alipokanyaga utatamani nawe ukanyage
 
wamemchakachua si alikuwa anaongoza kwenye kura tena aliwaacha mbali sana hao akina davido
 
Davido 2 Dadamond 0
[Dk 2 ya mchezo]
 
Mkuu ndio wengi tulikuwa hatumjui kabisa, hata hao Mafikizolo tumewajua baada ya kuskia wamepambanishwa na mkali wetu Dangote kwenye tuzo za MTV. Over

we peke yako ulikuwa huwajui ndo nyie mmeanza kusikiza mziki baada ya diamond kuanza kusikika...huna hadhi ya kubishana na watu haa jiandae uende tuition...mchikidown ukapge pindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…