Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Mtoto wa Davido ndio wa kwanza kufa kifo cha kuzama majini ( drowning)? Mbona maskini kibao wanazama majini daily? Hebu ficha ujinga wako au hujui km kuna ajali duniani! Nchi hii ina wapuuzi wengi wanaoamini kila kifo kina mkono wa mtu

Tajiri akifiwa katoa kafara, maskini akifiwa mipango ya Mungu.
 
Hahahahahah...nashukuru umenijibia maana nilishindwa hata kuwajibu
Yaani ukfiwa ukatijirika baasi umetoa kafara Mtoto
Upuuzi Wa Hali ya juu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…