hahahahahaha hii movie nimeipenda mnoo, ila mpaka sasa kwa kura tu chameleone ameshinda but kwao judges wana 70% nadhani itakuwa ngumu sna kuchomoka ka 2face hivii, au Dbanj
Nlichogundua na ndo ukweliz ni kwamba..Davido kesha ona Diamond hakamatiki.Ndo mana kaimiss sana kampani yake.Jaman huyu dogo ana nyota ya ajabu sana seriously.Damond anavothaminiwa sasa hv NIGERIA inafanya mpaka wasanii wa kule wana sense kitu flan ambacho hawakikutarajia.Mwishowe Davido anaona NO WAY OUT.Davido anatamani historia ijirudie.He miss those days.
Nmeona mheshmiwa drama queen at her best, akiona tumeconcentrate mahali nae anajitokeza kama kibakuli cha vumba ha ha ha ilimradi tu asemwe anasingizia et chameleon kaandika teamwema mwanamke muongo huyu mfyuuuuMpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili
Nmeona mheshmiwa drama queen at her best, akiona tumeconcentrate mahali nae anajitokeza kama kibakuli cha vumba ha ha ha ilimradi tu asemwe anasingizia et chameleon kaandika teamwema mwanamke muongo huyu mfyuuuu
Kumbe Davido anatoka Niger??.. ama kweli kua uyaone!
Mpenda sifa kama kawaa!ameona hazungumziwi sasa hivi amekuja na hili
Ana maumivu yasioishaHuyo mwanamke keshapagawa na domo wetu huyoo!!halafu Platnum sasa hivi yuko mbali kinyamaaaa!tunakimbiza Africa sasa hiviiii!!woyoooooooooooooooooo!!
Good for them...
Aibu kwa kina nanihiino
ulichokusudia sicho ulichokiandika!
Ana maumivu yasioisha
Mbunge viti maalumu hizo nguvu aelekeze kwenye uchaguzi
Good for them...
Aibu kwa kina nanihiino
Woyoooooooooo.... Haya tujaze nafasi iliyo wazi
View attachment 265327
Wabongo hapanaaaa, afu jana kulikuwa na party amazing nimemuona bro wake davido kapost yupo na president hawana mda wenyewe bifu za mashabiki maandazi tu...
Mamaaaaaaaa!!!mwaka wetu huu jamaniiiiii!!mpaka nimekosa cha kusema mimiiii.....ngoja nikavote fastaaa