Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
hahahahahaha hii movie nimeipenda mnoo, ila mpaka sasa kwa kura tu chameleone ameshinda but kwao judges wana 70% nadhani itakuwa ngumu sna kuchomoka ka 2face hivii, au Dbanj
Yaani huyu dada kwa sifa alhamdullahi!hajambo hasaa!!
